Kwachirakido
New Member
- Nov 20, 2010
- 4
- 0
nchambi ndio anayeteua au kuchagua rais????
kwa hiyo wewe ni mtabiri wa nyota na umerithi mikoba ya shehe yahaya hussein???
mimi rais wa tano sikubaliani na upotoshaji wako,tusubiri uchaguzi mkuu mwaka 2015 ndio utakaotupatia rais awe anatoka cck,adc,ccm,narea au hata mgombea binafsi alimradi awe mtanzania mzalendo.
Kaa pembeni kama uachie wenye kuweza kuchangia na sio kubwabwaja pumba tuu.ameondoa au ameongeza? We umeelewa nini hapo kuhusu gari? Hayo ya nyumba na posho, mlinzi sijui nini kama hadai kwa7bu za :kiuchumi hapa anamwambia nani? Ameulizwa? Kwanini asielezee tu gari ambalo wapinzani wake hawaishi kumsema? Haya ndiyo yanayonifanya nichukie siasa za kibongo, unafiki unafiki sanaa!!
Ni upuuzi kwa Zitto na Mbowe kuacha posho. maana msingi wa hoja ya CDM ulikuwa ni kwa serikali nzima kufuta posho zisizo na tija, hili lingesaidia serikali kuallocate pesa kwenye vipaumbele vyenye maslahi kwa umma. Maadam serikali na magamba waligoma, kuacha posho za Zitto na Mbowe hakutimizi matakwa ya hoja. By the way CDM wanazihitaji pesa kwa ajili ya M4C ambalo ni la maana zaidi kwa waTZ kuliko kuziacha zinahang bila allocation kama zile za EPA, Akina Mwigulu wanapiga kelele ili CDM mziache wao wazichakachue kama walivyozifanya za EPA. CDM inazihitaji hizo posho na acheni upuuzi na kupotosha msingi wa hoja yenu kwa ati Zitto kuacha posho. Umaana wa hoja ya kufuta posho utaonekana pale tu ambapo posho zitafutwa kwa ujumla wake na kupangiwa matumizi yenye manufaa kwa umma.Duh alikataa landcruiser gx standard akapewa V8 akatwaa! Vipi Zitto naye amerudi na kuchukua posho au? Kama bado Zitto anaendelea na msimamo wake basi huo ndio msimamo thabiti na siyo msimamo wa nataka sitaki.
Mbona unawadanganya? Hata usalama wa viongozi wakeshe kuiba kura!2015 ndio mwisho wao!Rais hawezi toka ccm tena, wajiandae kwa lolote, wengi wanajua hili hata Mh. Nchambi ameliona hili!
Ni upuuzi kwa Zitto na Mbowe kuacha posho. maana msingi wa hoja ya CDM ulikuwa ni kwa serikali nzima kufuta posho zisizo na tija, hili lingesaidia serikali kuallocate pesa kwenye vipaumbele vyenye maslahi kwa umma. Maadam serikali na magamba waligoma, kuacha posho za Zitto na Mbowe hakutimizi matakwa ya hoja. By the way CDM wanazihitaji pesa kwa ajili ya M4C ambalo ni la maana zaidi kwa waTZ kuliko kuziacha zinahang bila allocation kama zile za EPA, Akina Mwigulu wanapiga kelele ili CDM mziache wao wazichakachue kama walivyozifanya za EPA. CDM inazihitaji hizo posho na acheni upuuzi na kupotosha msingi wa hoja yenu kwa ati Zitto kuacha posho. Umaana wa hoja ya kufuta posho utaonekana pale tu ambapo posho zitafutwa kwa ujumla wake na kupangiwa matumizi yenye manufaa kwa umma.
Hapa mheshimiwa Mbowe kacheza karata za kisiasa vibaya.
Kama alijua yote hayo,angelichukua tangu siku ile ya kwanza kuliko kucheza mchezo wa Sitaki....Nataka.
Mh Mbowe anatakiwa atoe maelezo ya kiina ni vipi alirudia kulitumia tena? hii nataka sitaki ina aibisha CDM