Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Hahahahahaha unajua hawa watu hawana upeo.

Walifurahia ushindi bandia wa majimbo 71. Walisahau kuwa ule sio ushindi wao. Aliyeleta majimbo kaondoka na majimbo yake.
Wanachekesha sana...yaani 2015 walitumia mgongo wa Lowassa wakasahau kujiwekeza ...na alipoondoka lowassa wakahisi wameshakuwa na wakakejeli sasa effect ya kuondokewa Lowassa,Sumaye na wabunge na madiwani kibao imewakumba.
Hili ndilo anguko alilotabiri Wassira
 
Biashara asubuhi mahesabu jioni!

Na haya ya mwaka huu ndio mahesabu yenyewe,

Laana ya Dr. Slaa unaendelea kuwatafuna.
 
Mleta uzi aliona mbali sana kwa wakati ule...wengi bavicha humu walikua wanawahi namba shule ya msingi wakati mleta uzi ukishusha hii masterpiece humu..
Hii thread ina kila dhana za siilika/hulka/hekaheka za upinzani
 
Mkuu nickname, kwanza asante kwa hii kitu!, yaani ilipanda humu toka 31st March 2011 16:54, sijui mimi ilinipitia wapi?!

Mambo makubwa yanatokea hadi kupelekea watu muhimu kususa as if ni jambo la ghafla limetokea tuu bila kutarajiwa, kumbe ni pre meditated move, liliishapangwa kitambo!.

Ama kweli JF ni maktaba kubwa na nzuri sana ya rejea kuhusu siasa za Tanzania!.

Thanks.
Pasco
nimekumbuka kumhusu huyu mwamba, ni mtoto wa mjini, born town, yule jamaa wa kijijini,kajizima data kumvaa kwenye uenyekiti, subirieni atakavyopelekewa moto!。
Yetu macho。
P
 
Mbowe= Nick Clegg. lol.

Ukweli ni kwamba mambo kama haya katika siasa yapo haswa katika nchi zetu hizi zakibongo. Ukweli ni kwamba JK will never let Lowassa be president (atatumia CC kukata jina lake, na sababu itakayosemwa ni ile ile iliompoteza Malecela kuwa Mwalimu alikua hamtaki na pia scandal na kujiuzulu kwake kunamfanya asifae).

Kwahiyo kuna logic kubwa hapa. Inawezekana sana hizi zikawa campaign za Zitto kujaribu kumpunguza nguvu Mbowe (kama ni uongo) lakini vile vile inawezekana ikawa kwamba ni mchongo wa CCM kuivunja nguvu CHADEMA (JK and his people might have found that it would be useful to undermine Lowassa through this and at the same time undermine CHADEMA). Lakini kwa kuzingatia jitihada za Lowassa kujisafisha na kujihalalisha kuwa na nafasi ya kiti cha Rais ametoa pesa nyingi kuwezesha wabunge wengi wa CCM na hata wa upinzani kushinda uchaguzi.

Makadirio yasio rasmi kutoka wanasiasa mbali mbali zinasema kuwa ametoa pesa kwa takribani asilimia 75% ya wabunge waliopo Bungeni hivi sasa. Pamoja na kununua viongozi wengine wa CCM, viombo vya usalama ikiwemo TISS na vile vile vyombo vya habari kama tunavyofahamu tayari.

Hii inaonyesha strategy ya huyu bwana ni kucontrol channels zote zinazotumika kuchuja na kuchagua Rais. Bila shaka anawatu wake Central Committee lakini JK anaweza mpoteza aidha kwa kutumia sababu ambazo nimetaja hapo juu haswa kama CHADEMA na vyombo vingine vya kisiasa vikiendelea kumuandama katika miaka hii mitano ijayo. Hivyo kwa kuzingatia tactics it is extremely logical and likely that these allegations are true.

There is a clear motive on Lowassa's part as well as Mbowe ( kama ilivyotokea kwa Clegg, na kama hali ilivyo Kenya kwa mfano). Ukweli ni kwamba hii kitu ni mbaya na inahitaji kuchunguzwa zaidi na kutumia misingi ya kuto kupendelea au kufikiria kwa kutumia hisia za uzalendo wa ki-CHADEMA. In other words, these allegations warrant serious objective investigation and analysis.

Lisemwalo lipo na kama halipo basi linachongwa na 2015 mtaliona.
Yees!
 
Habari hii inaweza ya kupikwa lakini imepikwa kwenye mazingira yanayoelekea kuwa kweli:
Tanzania Daima kumpamba ENL
Mbowe yupo kibiashara zaidi
Mbowe hajawahi kumsifia/kumpamba Dr. Slaa hata siku moja (fuatilia), maana yake hapendezewi naye jinsi alivyo moto kwa mafisadi
Mbowe hawajawahi kutoa kauli yoyote ya kumlaani/kumsema ENL au RA

TAFAKARI CHUKUA HATUA
Haya mambo haya!
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

Similar Discussions

Back
Top Bottom