Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Hahahahaha....Just Hahahahaha. How You like Zitto Now!?
Sikumbuki kuwahi kumkubali zitto mahala popote pale. Ni mjenga hoja mzuri sana, hilo nalikubali pasipo shaka lakini si mshirika mzuri. Hana tofauti na nyoka mwenye sumu kali.
 
Habari za propaganda, zisizoenda shule, zilizoandikwa na wehu na zinazoaminika na wenye kufanana na walioziandika. Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Poleni na aibu kwa CCM - chama cha manyang'au.
Hahahahaha....
 
Erythrocyte
Pitia hapa tafadhali uone huu ushahidi ulioutaka kuhusu Mh. Mwenyekiti wako na mauzo ya Chama.
Huu ushahidi ulitolewa mwaka 2015.
JF ni Kisima cha Chemchem.
 
Unatamba hamna mapandikizi chadema wakati Sumaye na Lowasa wapo kamati kuu ya chadema?

@ Nilienda chadema kwa manufaa ya ccm ~~~• Sumaye

#Mbowe must Go

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni kaburi baya sana kwa Chadema haswa haswa mwenyekiti wao
 
Watu wanaona mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh
 
inashangaza huku Tanzania bado kuna watu majuha na mbumbu kiasi hiki..!! Kwenye Nchi zingine ni vigumu wananchi kukaa wakazikariri propaganda za vyama vyao tawala kwani wanajua chama tawala siku zote hukaa na kutengeneza uzushi Uongo wa kila aina ili kudhoofisha upinzani.inasikitisha kuwa wapo wajinga wajinga bado wamekariri ujinga huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…