Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Kifo cha CHADEMA chaja na anayesababisha ni Mbowe na mfanyabiashara mwenzake Lowassa, Mbowe kashapata pesa sasa wale wanachama ambao gawio halikufikia wakabakia wanadeki barabara na kuwatukana watu wataenda wapi na watakua wageni wa nani!
 
hizo ni mbinu tu za vita dhidi ya chadema!, maandamano yalitisha sana yale ati!, hizo habari ni za kizushi tu!
Hapo hakuna cha mbinu wala mdogo wake na mbinu ni ukweli mtupu
tizama hapa alichosema mbowe
AsxtAOP5JX2W2ISGfXs4ED5kfCrHtqc0gO9XvNBJeUaG.jpg
leo huyo mtu waliesema ni kapi amegeuka kuwa shuja huoni nkama huu ni uhuni wanatufanyia tumeshtuka na hatuwachagui tena hapakazitu
 
Huu ndio upuuzi wa kufata mkumbo na kutoa hoja za kipumbavu.
Tarehe ya hii thread inaonyesha wazi wakati huo hata hicho kitengo cha IT hakikiwepo.
Kuna habari za hiyo mipango ya kuunda hicho unachokidai ni kitengo humu humu jamvini.
Habari ina miaka kadhaa hii.
Umekula sufuria ya maharage ya Gwajima nini?
Pete ya lowassa na misikule ya gwajima inawasubua sana hawa vijana
 
AHADI 10 ZA MAGUFULI ZINA AKISI MABADILIKO YENYE TIJA KWA WOTE YANAKUJA


Gazeti la NIPASHE Oktoba 15, 2015 limebeba kichwa cha habari gharama za kutimiza ahadi 10 kwa MAGUFULI na LOWASSA ni Trilioni 92. MAGUFULI ahadi zake zinahitaji trilioni 63.64 na LOWASSA trilioni 28.29 katika awamu yao ya kwanza ya miaka mitano. MAGUFULI anaonekana kuwa na dhamira ya dhati katika kuleta mabadiliko yenye tija kwani ahadi zake zinahitaji uwekezaji mkubwa zaidi ya mpinzani wake.

Trilioni 63.64 kwa miaka mitano ni wastani wa trilioni 12.73 kwa mwaka huku Lowassa akihitaji trilion 5.66 kwa mwaka. MAGUFULI ameweka malengo makubwa yanayotekelezeka lakini pia ambayo yatamlazimu kupiga vita rushwa na ufisadi kwa nguvu zote kama alivyokwishaahidi mara kadhaa pamoja na kusimamia nidhamu ya ukusanyaji mapato na matumizi serikalini ili fedha zipatikane kuwahudumia watanzania. Huyu anayehitaji trilioni 5.66 kwa mwaka ataruhusu ufujaji mkubwa wa fedha za serikali. Hivyo MAGUFULI ndiyo kura ya mabadiliko ya kweli Oktoba 25.


AHADI 10 ZA MAGUFULI HIZI HAPA


1. MAJI-Kuboresha huduma za maji safi na salama kwa wananchi waishio vijijini na mijini,kukamilisha miradi mikubwa ya maji,kupanua miradi ya kitaifa katika meneo mbalimbali nchini kwa kuchimba visima virefu,kujenga mabwawa katika mikoa yenye ukame. Kuanzisha mfuko wa maji wa taifa (Nationa water Investment Fund) kwa ajili ya kuharakisha ujenzi wa miradi ya maji nchini. Pia ameahidi serikali yake kushirikiana na sekta binafsi katika kujenga miundombinu ya uondoshaji wa maji taka kwa mfumo wa ubia ili uendane na kasi ya ukuaji wa miji yetu.


2. ELIMU-Yeye na Chama Chake wanaamini elimu bora ina nafasi ya kipekee katika kufanikisha ujenzi wa misingi ya uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea. Kwa kutambua ukweli huu,serikali ijayo ya CCM chini yake itaipa elimu umuhimu wa kipekee ili kuhakikisha inakidhi mahitaji ya sasa ya nchi kwa kumuandaa kila mtanzania kukabiliana na changamoto zinazomzunguka. Kulipa madeni yote ya walimu na kuboresha maslahi na makazi yao pamoja na kuanzisha tume ya walimu itakayosimamia maendeleo ya walimu kote nchini ikiwemo kupandishwa madaraja kwa wakati.
Kumaliza tatizo la madawati na upungufu wa vitabu vya kujifunza na kufundishia pamoja na kutoa elimu bila ada kuanzia ngazi ya msingi hadi sekondari. Kujenga vyuo vya ufundi stadi VETA kila wilaya.


Kurekebisha utaratibu wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu ili kila mwanafunzi anayestahili apate bila usumbufu na kwa wakati.Kuhakikisha ujenzi wa vyuo vikuu vikubwa 2; Chuo Kikuu Cha Kilimo na Sayansi Shirikishi Cha Mwl.J.K. Nyerere (Butiama-Mara) na Chuo Kikuu Cha Sayansi Za Madini Shinyanga.


3. AFYA-Kuongeza idadi ya waganga na wauuguzi pamoja na kuimarisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika vituo vyote vya tiba nchini.Kuboresha maslahi ya watumisha wa sekta ya afya kwa kuwalipa mishahara bora,kuwajengea nyumba ili kuwapa motisha ya kufanya kazi.


Serikali ya CCM chini ya MAGUFULI itwaweka utaratibu utakaowawezesha wananchi wote kuwa na bima za afya ili wamudu gharama za matibabu. Kukamilisha ujenzi wa zahanati kwa kila kijiji,kituo cha afya kila kata,hospitali kila wilaya na hospitali ya rufaa kwa kila mkoa. Tutaendelea kupunguza kwa kasi zaidi vifo vya mama na mtoto ili ikiwezekana kuvimaliza kabisa.Tutaanzisha pia mamlaka ya kudhibiti na kuzuia dawa za kulevya


4. KUKUZA VIWANDA-Kujenga viwanda mama na kuimarisha vilivyopo. Kuhamasisha sekta binafsi kuanzisha viwanda vikubwa na vya kati na kuweka utaratibu wa kuvilinda dhidi ya bidhaa zisizo na ubora zinazoingia nchini kinyume na utaratibu. Kujenga mazingira rafiki yatakayowezesha kupunguza gharama za uwekezaji na uendeshaji wa viwanda.Kuanzisha viwanda vya msingi vinavyotumia malighafi ya chuma na makaa katika maeneo ya Liganga na Mchuchuma.


5. USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI
Barabara-Tutaimarisha mfuko wa barabara,kuboresha mfumo wa ufuatiliaji na kuanzisha wakala utakaosimamia kazi za ujenzi na matengenezo ya barabara za miji,majiji na halmashauri ambazo ziko chini ya TAMISEMI. Tutamalizia ujenzi wa barabara kuu za lami zenye urefu wa kilometa 2,358 na kujenga barabara mpya za lami zenye urefu wa kilometa 3,419 zitakazounganisha mikoa na wilaya zote nchini. Kukamilisha ujenzi wa flyovers katika jiji la Dar. Tutawashirikisha wakandarasi wadogo wadogo wa kitanzania wanaoonesha nia ya kushiriki kazi kubwa za ujenzi wa barabara ili kuwajengea uwezo na kuwapatia fursa za kushiriki katika sekta ya ujenzi.


Reli-Tutashirikiana na sekta binafsi kuanza na kukamilisha ujenzi wa reli zifuatazo kwa kiwango cha kimataifa (standard gauge); Dar-Tabora-Mwanza/Kigoma; Uvinza-Msongati(Burundi); Isaka-Kigali(Rwanda); Mtwara-Songea-Mbambabay(na matawi ya kwenda Mchuchuma na Liganga);Tanga-Arusha-Musoma na Kaliua-Mpanda-Karema. Kuyajengea uwezo mashirika yetu ya reli ya TRL na TAZARA ili yatoe huduma bora na kwa ufanisi.


Usafiri wa majini- Kuimarisha miundombinu ya usafiri wa majini kwa kuimarisha miundombinu katika bandari za Zanzibar, Dar, Mtwara,Tanga,Mafia,Mwanza,Kigo ma,Bukoba,Kyela na Musoma. Kununua meli mpya za abiria na mizigo katika ziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa.


Usafiri wa anga-Kukamilisha ujenzi wa viwanja vya Dar,Zanzibar,Kigoma,Shinyanga, Dodoma,Mwanza,Lindi,Tanga,Geit a pamoja na ukarabati wa viwanja vya Iringa,Njombe,Simiyu,Musoma,Mo shi na Arusha. Kushirikiana na sekta binafsi kuliimarisha shirika letu la ndege la Taifa.


6. NISHATI-Kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa umeme wa uhakika na gharama nafuu nchini pamoja na usambazaji wa umeme vijijini ili 60% ya watanzania wawe na umeme wa uhakika ifikapo 2020. Tutahimiza matumizi ya gesi asilia katika matumizi ya nyumbani na viwandani ili kupunguza matumizi ya kuni na mkaa hivyo kuhifadhi mazingira.


7.UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI:Serikali ya CCM awamu ya 5 chini ya MAGUFULI itwawawezesha wananchi kiuchumi kwa kuhakikisha kuwa: Inatenga milioni 50 kwa kila kijiji na kila mtaa kama mfuko wa mzunguzko kwa ajili ya kuwakopesha vijana na wanawake wajasiriamali kupitia vikundi; kutenga maeneo maalumu katika kila halmashauri kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo kwa kuyajengea miundombinu yote muhimu;Kuondoa kero za ushuru na kodi zinazotozwa kwao.Kuhakikisha 30% ya zabuni za manunuzi ya halmashauri kwa ajili ya kampuni ndogo zinazomilikiwa na vijana na wanawake katika halmashauri husika.


8. MAHAKAMA MAALUM YA MAKOSA YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI
-Mahakama hii itaharakisha uchunguzi na utoaji hukumu kwa makosa ya Rushwa,Ufisadi,Ukwepaji kodi na yote yanayotambulika kama uhujumu uchumi.


Itaendelea kesho AU NEXT TYM
 
Moringe Sokoine1

Ingekuwa vyema kama ungeanzisha thread kwa ajili ya makala yako hii..inafaa sana kuwa thread au mjadala mpya. Nafikiri na wenzangu wataniunga mkono..
 
Last edited by a moderator:
Huu ndio upuuzi wa kufata mkumbo na kutoa hoja za kipumbavu.
Tarehe ya hii thread inaonyesha wazi wakati huo hata hicho kitengo cha IT hakikiwepo.
Kuna habari za hiyo mipango ya kuunda hicho unachokidai ni kitengo humu humu jamvini.
Habari ina miaka kadhaa hii.
Umekula sufuria ya maharage ya Gwajima nini?

Wanakata roho hao
Usishangae kurusha rusha mateke

Lowasa out!!!!!!!!!!
 
Jioni njema kwa hisani ya raisi wa awamu ya tano
Dkt john pombe magufuli.
 
kweli nimeamini misukule ya gwajima na Pete ya lowassa watu imewanyofolea ubongo na kuwawekea mikojo kichwani.
 
Mnachekesha sana tena sana. Simple thinking je Kwahiyo mbowe ndio alimwambia kikwete aje na majina matano mfukoni ili amuuzie lowassa chadema?? Yaani coordination yote hiyo itokee kwa watu ambao hawakuwa wamoja?? Na ili iweje
 
Mnachekesha sana tena sana. Simple thinking je Kwahiyo mbowe ndio alimwambia kikwete aje na majina matano mfukoni ili amuuzie lowassa chadema?? Yaani coordination yote hiyo itokee kwa watu ambao hawakuwa wamoja?? Na ili iweje
unajichetua tu hata hueleweki unaongelea nini? inaonekana Pete ya lowassa na misukule ya gwajima imekaa sana kichwani mwako.
 
Mnachekesha sana tena sana. Simple thinking je Kwahiyo mbowe ndio alimwambia kikwete aje na majina matano mfukoni ili amuuzie lowassa chadema?? Yaani coordination yote hiyo itokee kwa watu ambao hawakuwa wamoja?? Na ili iweje

Mkuu hivi Lowassa alihama hivihivi tu baada ya kukatwa jina? Angewezaje kuhamia ndani ya wiki kama kulikuwa hakuna maandalizi?
Nani alikwambia hawa watu hawakuwa wamoja. Soma hiyo article vizuri. Walikuwa katika majadiliano tokea 2011.
Ila tunasubiri msemaji aje akanushe kwa hoja. We kweli huelewi kitu si kosa lako!
 
Paw Moderator robot hivi munasubiri nini huu Uzi kuwa sticky. ili watu wajue kwamba lowassa na mbowe ni mafisadi makubwa katika nchi hii
 
Last edited by a moderator:
Paw Moderator robot hivi munasubiri nini huu Uzi kuwa sticky. ili watu wajue kwamba lowassa na mbowe ni mafisadi makubwa katika nchi hii

Ngoja tuendelee kuwakumbusha mkuu lakini usiwe na shaka ujumbe unafika na wakiona hii thread inaibuka tumbo moto!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tuendelee kuwakumbusha mkuu lakini usiwe na shaka ujumbe unafika na wakiona hii thread inaibuka tumbo moto!

Kama wanataka hela waseme tuwape ikiwezekana hata tuwachangia watu wote tuliotoka Chadema ili Uzi huh uwe sticky.
 
mwandishi wenu wa gazeti gani? na mpaka mbowe aweke ngumu eti waandikishane hiyo serikali ya umoja wa kitaifa itakuwa ya chadema na ccm tu? au ccm+cuf+cdm+nccr?

Gazeti hilo hilo, kusoma hujui unataka gazeti la nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom