Ndugu yangu freeman aikael mbowe nakuuliza seal hili ili nipate kujua kama we we ni mwanasiasa au ni mwanasiabiashara kwa maana napata shaka hasa kichwani mwako unalitakia nin taifa hili.
Hii tabia yako ya kuuza uza nadhani ingeishia pale billcanas kwenye kuuza pombe tu na sio chama cha chadema.
Hao wafanyabiashara watano tunaomba utuelezee watazirudishaje fedha zao kama sio kuwaumiza watanzania kwa mikataba uchwara.???
Unaonekana una tamaa ,uroho wa madaraka na fedha kiasi kwamba umekua mrahisi wa kuvunja imani,itikadi, na msimamo wa chadema mbele ya pesa za mafisadi uliotumia miaka 8 kuwachafua.
Wewe ni mtu namna gani haufai kua kiongozi wa watu hata kidogo .
Mbowe ni tapeli sema kajificha kwa mwavuli wa siasa
Sisi wa Chadema asilia tutakachofanya baada ya uchaguzi mkuu ni haya;
1) tutafukuza mafisadi na majizi yaliyotoka ccm yarudi hukohuko. Hatuyataki tena kwa sababu yamekuja kuua upinzani
2) tutawataka makamanda waliowakaribisha mafisadi wote wajipime na wakae pembeni. Hiyo ni lazima. Na sio pembeni tuu hata pia tusiwaone maofisini kwetu. Tutakwenda funga makufuli pale ofisini.
3) tutawataka viongozi makamanda watuambie ni hela ngapi walihongwa ili kupokea wageni hao. Kwa sababu tunajua haiwezi kuwa burebure
4) tutataka kujua sasa mapato na matumizi ya fedha za wananchi. Kwa sababu tumeshaona ufisadi upi sana ndani ya chama chetu.
5) hapo sasa tutawaita Dr Slaa na Prof Lipumba waje wabebe na kuibua jahazi lililozama.
6) tutawataka viongozi wa vyama vingine warudi kwenye vyama vyama vyao vinavyokufakufa wasije wakatulaumu tumechangia kuua vyama vyao. Kwa sababu kiukweli vyama hivi Mbowe ameshaviua kabisa hatujui vitaibukaje tena. Wananchi wamepoteza matumaini kabisaaa. Kwa mtaji huu ukiunganisha na wenzetu kwa maslahi mapana ya mama Tanzania tutaweza kufungua mahakama ya mafisadi haraka ili tuwakamate tuanze nao hao. ni hayo kwa ufupi
Mbowe ni tapeli sema kajificha kwa mwavuli wa siasa
Ndugu yangu freeman aikael mbowe nakuuliza seal hili ili nipate kujua kama we we ni mwanasiasa au ni mwanasiabiashara kwa maana napata shaka hasa kichwani mwako unalitakia nin taifa hili.
Hii tabia yako ya kuuza uza nadhani ingeishia pale billcanas kwenye kuuza pombe tu na sio chama cha chadema.
Hao wafanyabiashara watano tunaomba utuelezee watazirudishaje fedha zao kama sio kuwaumiza watanzania kwa mikataba uchwara.???
Unaonekana una tamaa ,uroho wa madaraka na fedha kiasi kwamba umekua mrahisi wa kuvunja imani,itikadi, na msimamo wa chadema mbele ya pesa za mafisadi uliotumia miaka 8 kuwachafua.
Wewe ni mtu namna gani haufai kua kiongozi wa watu hata kidogo .
Wakati wa uchaguzi ndo wakati wa faida ya chama. Mtei hakutegemea hili. Sasa isha pata bilioni zake waliobakia hangaikeni ila
Ndele likikubali basi mhanga huwa hajitambui. Lakini na ndele zote alizofundishwa na bwana mahaba kutoka zanzibar, Roho Mtakatifu anaendelea kuzitibua akibadilisha uteka siku baada ya siku. Kwa wasiojua; ndele ni dawa ya mahaba wanayoitumia waganga ili mtu kuvutika kwa mtu mwingine bila utashi wake. inaweza kupulizwa hewani au kupakawa kwenye kitu chochote na mhanga akikumbana nacho ndo anakuwa ktkt mahaba mazito. hatambui wala hasikii. Hilo sisi wacha Yahu tunalishughulikia Ni uchawi m-baya sana. Haleluyahu
We mpuuz gamba acha kujifanya cdm kenge weeKiukweli kamanda Mbowe na kundi lako mmetutia aibuu sana na haitafutika machoni mwetu. Kila kona tukipita tunaitwa wapiga dili. Hivi kweli chadema tumekuwa hivi leo,???? Sababu ya uroho wa pesa na maslahi binafsi tuu.??? Ni lazima tulipuze hapa hapa duniani for real
Akili za ki Eyakuze hiziNdugu yangu Freeman Aikael Mbowe nakuuliza seal hili ili nipate kujua kama wewe ni mwanasiasa au ni mwanasiabiashara kwa maana napata shaka hasa kichwani mwako unalitakia nin taifa hili.
Hii tabia yako ya kuuza uza nadhani ingeishia pale billcanas kwenye kuuza pombe tu na sio chama cha CHADEMA.
Hao wafanyabiashara watano tunaomba utuelezee watazirudishaje fedha zao kama sio kuwaumiza watanzania kwa mikataba uchwara.?
Unaonekana una tamaa ,uroho wa madaraka na fedha kiasi kwamba umekua mrahisi wa kuvunja imani, itikadi, na msimamo wa CHADEMA mbele ya pesa za mafisadi uliotumia miaka 8 kuwachafua.
Wewe ni mtu namna gani haufai kua kiongozi wa watu hata kidogo .
Kustaafu siasa haina maana hatazungumzia kabisa masuala yanayohusu taifa kwa maslahi ya taifa. Na hata hivyo wananchi wakimhitaji kwa dhati kabisa anaweza kuendelea kuwatumikia. Siasa ina kustaafu??? Wapo kina Kingunge mpaka leo na miaka karibu 100 na wanashughulika na siasa. Kifo ndio humtenganisha mtu na siasa. Kwa sababu siasa ndio maisha yabkila sikuKuna CHADEMA 1 tu ambayo mwenyekiti wake ni Mbowe, kama hauridhiki ni busara ukaanzisha chama chako kitakachokidhi matakwa yako. Umlete Dr. Slaa wapi wakati ameshasema anasfaafu siasa?
Kustaafu siasa haina maana hatazungumzia kabisa masuala yanayohusu taifa kwa maslahi ya taifa. Na hata hivyo wananchi wakimhitaji kwa dhati kabisa anaweza kuendelea kuwatumikia. Siasa ina kustaafu??? Wapo kina Kingunge mpaka leo na miaka karibu 100 na wanashughulika na siasa. Kifo ndio humtenganisha mtu na siasa. Kwa sababu siasa ndio maisha yabkila siku