Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

We umeingia kichwa kichwa humu. Hebu tulia rudi usome tokea mwanzo post hii ni ya 2011. Soma chama kilivyouzwa. Acha kushabikia kitu huelewi. Lowassa kawatuliza kwa pesa, wenzako wameshavuta mabilioni we hujapata senti hata tano unashabikia viva viva! Ngoja uchaguzi upite uone wenzako wanatimukia London na Dubai, wewe utabaki na umaskini wako.
Amka kijana!

Kwan ukichagua ccm ndo hautobaki na umaskini wako
Hata ukawa wakiweka jiwe ntalipigia kura
 
wakiwa nao wote washauzwa ndani yake maskini, hahahahhaha mwisho wa ubaya aibu , na tutawazika oktoba, waache waendelee kujichimbia kaburi
 
Hongera kwa S4!Ila kwasasa tunatumia S6.
Nyingine zote mbwembwe ila Kama Alivyohama Lowassa na wengine tumehama hivyohivyo kumfata Magufuri.
Sina imani na CCM ila ninaimani na Magufuri na ni heri ya Magu kuliko Lowassa papa

Halafu pamoja na Uzee wako lakini umeshindwa kujenga hoja!Report za Serikali sio ya Richmond tu rudi tena maktaba ukasome

Duh!...unaleta arguments za ajabu tu zisizokuwa na msingi wowote eti KUNA S6,MARA UZEE SIJUI NIRUDI MAKTABA,mimi nimekupa mfano wa report niliyonayo kwenye simu yangu tu na nimeizungumzia RICHMOND IKIWA NDO KASHIFA INAYOJULIKANA KUMKUMBA HUYU LOWASSA HADI KUPELEKEA KUJIUZULU HIZO NYINGINE ULIZONAZO NI ZAKO WEWE KAFUNGIE MAANDAZI...NA SIWEZI KUWA NAZO ZOTE MAANA ZILE NI NYARA ZA SERIKALI YA J.M.T,PIA NINGEFURAHI KAMA UNGEWAAMBIA WATU WAKASOME NA REPORTS ZA C.A.G KATIKA WIZARA YA UJENZI ALIYOISIMAMAIA HUYO MAGUFULI ILI WAONE UPOTEVU WA MABILIONI ULIOTOKEA KILA MWAKA KWENYE WIZARA HIYO!

I saw your POINTLESS!...Over the TRUTH!
 
Ni maneno tuu hayo ya lumumba hata kwny kanga hapo mkuu

Lumumba mwaka 2011 walikuwa na Lowassa hebu akili za kuambiwa changanya na kwako kijana!
Soma vizuri tarehe iliyowekwa uzi huu ni 2011. Hata CCM hawakuamini!
Ndo mjue biashara ilianza 2011 siyo leo!
 
Kwan ukichagua ccm ndo hautobaki na umaskini wako
Hata ukawa wakiweka jiwe ntalipigia kura

Hivi mkuu, wapi nimesema chagua CCM? Mi siko huko na sikuandika kuhusu uchaguzi. Tunazungumzia biashara ya Mbowe kumwuzia Lowassa chama. Hii iliandikwa 2011 hatukumwamini sasa biashara imekamilika. Hivi mbona siku hizi Mbowe haonekani tena? Wala kuongea haongei?
Mkuu kama bado unashabikia chama hiki ujue hakuna chana tena. Wapowapo tu wanasubiri Oktoba wasambaratike!
 
Hivi mkuu, wapi nimesema chagua CCM? Mi siko huko na sikuandika kuhusu uchaguzi. Tunazungumzia biashara ya Mbowe kumwuzia Lowassa chama. Hii iliandikwa 2011 hatukumwamini sasa biashara imekamilika. Hivi mbona siku hizi Mbowe haonekani tena? Wala kuongea haongei?
Mkuu kama bado unashabikia chama hiki ujue hakuna chana tena. Wapowapo tu wanasubiri Oktoba wasambaratike!

hahaahhahahahaah wamepanic saana kiasi kwamba ukiwaambia kitu, wanajua wanaambiwa na ccm, mada imeandikwa mbowe na mamvi, ila bado tu mtu kakazana ccm ......tatizo wakiwa bado hawajitambui , yani wanaendelea kuchimba kaburi tu 2015 , tunawazika hahahahahahah
 
Naskia wameruhusu kufanya uchaguzi ndani ya chama, na hakutakuwa na masharti ya nafasi gani isigombaniwe.
 
Ninavyofahamau mtu anaponunua kitu huwa anataka faida nacho, aidha kwa matumizi ya kawaida au kwa ajili ya biashara, sasa walioinunua CDM wanataka kuifanyia nini

wanatakulazimisha moja kuwa mbili.....na tunashukuru vile wametufumbua macho kwamba hawana maana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom