Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Hivi mkuu, wapi nimesema chagua CCM? Mi siko huko na sikuandika kuhusu uchaguzi. Tunazungumzia biashara ya Mbowe kumwuzia Lowassa chama. Hii iliandikwa 2011 hatukumwamini sasa biashara imekamilika. Hivi mbona siku hizi Mbowe haonekani tena? Wala kuongea haongei?
Mkuu kama bado unashabikia chama hiki ujue hakuna chana tena. Wapowapo tu wanasubiri Oktoba wasambaratike!

We kakwambia nani kuwa watasambaratika
 
Naamini ujio wa Lowassa nikuimaliza chadema. Kwahilo wanachadema hatutoliona kwa sasa ila tutalielewa zaidi baada ya uchaguzi kupita endapo tutashindwa..!!!
 
We kakwambia nani kuwa watasambaratika

Mkuu Mungu akitujalia uzima tutafutana humu. Unafikiri sasa hivi kuna chama hapo. Mara ya mwisho ulimwona lini Mbowe akiwa jukwaani na Lowassa?
Haya kaa utafakari!
 
Naamini ujio wa Lowassa nikuimaliza chadema. Kwahilo wanachadema hatutoliona kwa sasa ila tutalielewa zaidi baada ya uchaguzi kupita endapo tutashindwa..!!!

Ila wameingia wenyewe mtego huu kwa tamaa zao. Hakuna aliyewalazimisha!
 
Mnajaribu kumpamba Zitto aonekane malaika???? upuuzi mtupu leteni habari za maana watu tujadili, kutuletea habari kama japo mtu anatumia demokrasia, lakini ikumbukwe kuwa ni uharifu wa rasilimali, muda na akili na utayari wa watu katika kushiriki kuchangia mambo.....mtatumia misuli sana kumpamba Zitto bila mafanikio mwenzenu kila kukica anaoga matope kwa hiari yake.

Kuhusu CDM NA mbowe HOJA ZILIZOTUMIKA NI UPUUZI MTUPU WAANDIKISHIANE HALAFU WAKIGEUKIANA WAKSHITAKIANE WAPI LABDA KAMA MNGESEMA WAMEENDA KWA MGANGA KUNCHANJIANA DAMU (KULA YAMINI)

Penye ukweli uongo hujitenga makala ya mwandishi yanamashiko na kwa mtu mwenye hekima na busara hawezi pingana nayo fuatilia vizuri nini mwandishi ameandika na soma kwa makini kisha tafakari utagundua kitu ni hayo tu nakusihi tukutane oct 25 tumchague magufuli tujenge Tanzania mpya.
 
Mbowe wanachama wako watakupiga mawe tar 25 oct kwa kumpoteza Dr Slaa.
 
Mkuu Mungu akitujalia uzima tutafutana humu. Unafikiri sasa hivi kuna chama hapo. Mara ya mwisho ulimwona lini Mbowe akiwa jukwaani na Lowassa?
Haya kaa utafakari!

Mkuu hata mimi co mwana chama wa chama chochote cha siasa hapa tz lakn nmeamua tu kuwapa kura yangu no matter what will happen
 
Lakini kweli ise alivyoingia kama kimbunga edo haiwezekan,kwamba kusiwe kununuliwa
 
Mkuu hata mimi co mwana chama wa chama chochote cha siasa hapa tz lakn nmeamua tu kuwapa kura yangu no matter what will happen

Basi haina tatizo mkuu! Mi nimetafakari na kugundua mwaka huu si lazima kupiga kura ya urais. Labda nimpe yule mama wa ACT lakini si kwa Ukawa!
 
km mbowe kauza chama basi amefanya dili la ukweli, mana unauza chama then kinaingia ikulu, inabidi tumpongeze kwa kukiuza muda na wkt muafaka
 
Ila wameingia wenyewe mtego huu kwa tamaa zao. Hakuna aliyewalazimisha!


Mkuu nimeshangazwa sana na siasa za namna hii. CCM imechoka lakini ilihitajika upinzani ulio makini kuiondoa madarakani badala yake tumeuza chama chetu Chadema na kutengeneza the so called `EMERGENCY POLITICAL PARTY` chini ya Lowassa. CCM imejisafisha kwa kuondoa mfumo wa `WANAMTANDAO`, lakini chadema wameupokea huo mfumo.
Hii ni kuifanya CCM kurudi tena madarakani.
 
Kisiasa kuna mbinu za muda mfupi pia za muda mrefu . lazima uwe na plan B pale ulipo na plan A. Mbowe anachofanya ni kazi hasa ya mwanasiasa wa karne hii na katika mazingira ya siasa ya nchi TZ ya utawala wa chama kimoja nusu karne nzima. Nampongeza kwamba aliutafakari uamuzi wake kwa muda mrefu na akautathimini kuwa utaleta hamasa chanya katika chama na pengine niseme Chadema haijawahi kuwa katika kiwango cha juu namna hii katika historia yao.ni mafanikio ya kichama na yeye kama mwenyekiti Kwa lowassa yeye alipeleka wazo na namna ya kufadhili wazo lake..unaweza kuwa na wazo zuri bila ya kuwa na nyenzo haliwezi kukamilika kama unavyotaka . Ana ndoto mwacheni atafute kuzifikia ndoto zake na tena kajipanga lowassa na mbowe wote oppoturnist ,nafasi inapotokea wanapiga
 
slaa kajipoteza mwenyewe!!

Amejipoteza ka lipi hana alijipoteza ukawa ni genge la wahuni tu DKT Slaa kashawamaliza na sasa mtaiso,ma namba na alisema unapotaka kuitoa CCM kwwnye madaraka lazima uwe na mikakati madhubuti na sio kwa kununuliwa na mamvi mwenye uchu wa madaraka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom