magufuliforpresident
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 159
- 59
duuhhhh juzi tu ushakuwa senior member hongeraa kijana wa lumumba!!yule gwajima sijui nini hana lolote, la maana aliongea, upuuzi tu, namfananisha kama mtoto mdogo amabae bado ana akili za kipumbavu!!! Chama kimeshauzwa, kwa mamvi hawana jipya wammebaki tu kuleta propaanda zisizo na miguu wala kichwa
kwa majibu yako unaonesha wewe ni bonafied bavicha member...Sidhani kama viongozi wenye upeo wanaweza kujibu tuhuma ambazo azina ukweli wao wanaofikiri chadema imeuzwa waitime tra wakachukue kodi
Mkuu, hawana majibu zaidi ya porojo na ukasuku tu.Lowasa ndiye rais
Dr. John P. Magufuli is our next president
chadema wana malengo yao makini hata iweje 2015 wanashika dora. Huo ni mpango ndani ya makundi ya ccm kumchafua EL ili wamweke mtu wao na hata hvyo hawataweza kamwe..! Kwani 2015 ni cdm tu.
Mhh, kweli #hapakazitu , mimi napita tu ila kura yangu kwa CDM big noooohizo ni mbinu tu za vita dhidi ya chadema!, maandamano yalitisha sana yale ati!, hizo habari ni za kizushi tu!
Ccm kifo cha mende mwaka huu. Mtakoma
mwisho wa ubaya ni aibu, kunufaika kwake binafsi na tamaa zake zitamuumbua mbowe, thamani ya chama cha demokrasia na maendeleo umeipoteza kwa kumkabidhi mtu chama ambaye ameipoteza falsafa ya chama, kwa hili hapana watanzania hatuko tayari[/
QUOTE]
je
wewe ndiye yule beelzebuli?
View attachment 285327
Wamewanunua bodaboda kwa mafuta sembuse watu, huu ni muda wa kumpa kura kiongozi, muadilifu, asiye na kashfa, mchapakazi na anayechukia vitendo kama hivi bila kujali cham chake
chadema wana malengo yao makini hata iweje 2015 wanashika dora. Huo ni mpango ndani ya makundi ya ccm kumchafua EL ili wamweke mtu wao na hata hvyo hawataweza kamwe..! Kwani 2015 ni cdm tu.
mwisho wa ubaya ni aibu, kunufaika kwake binafsi na tamaa zake zitamuumbua mbowe, thamani ya chama cha demokrasia na maendeleo umeipoteza kwa kumkabidhi mtu chama ambaye ameipoteza falsafa ya chama, kwa hili hapana watanzania hatuko tayari[/
QUOTE]
je
wewe ndiye yule beelzebuli?
Kwanza nikupe pole maana hata kuqoute huwezi kahiyo hata maada yao unayochangia ni fake pia huna jipya kile ambacho ulikua unajaribu kuqoute ni cha kweli nani asiejua kwamba mbowe kauza chadema kwa vipande thelathini vya thamani sasa macho yanamtoka maana anaona kaburi la chadema linamalizikia kuchimbwa oct 25 wakazikwe kabisa
CDM itaaandamwa kwa kila mbinu ili tu kuipunguzia nguvu na ushawishi kwa jamii.
Mkuu, hawana majibu zaidi ya porojo na ukasuku tu.Lowasa ndiye rais
Vyovyote vile tutamchagua Lowasa