Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Kwa sasa wanachadema wataielewa hii habar kuliko wakati ilipotoka. Maana sasa hivi kaenda mbali zaidi

Sijui leo hili suala litagusiwa Jangwani maana kuna maswali mengi yamekosa majibu lakini hili la kuuza chama Mbowe kakaa kimya hasemi kitu. Itakuwa kweli.
 
Kwa tabia hii bila kujibu tuhuma za uuzwaji wa CHADEMA kwa Lowassa.
Watu tumepigwa tumeisapoti Dr Slaa kazunguka nchi nzima kutuhamasisha leo chama kinauzwa kirahisi bila maelezo.
Hii inadhihirisha na sisi wanachama tumeshauzwa
 
Mkuu ni machungu sana kuona tunakuwa na viongozi wanaojari maslahi yao. Sasa tukiwapa nchi itakuwaje
 
Mkuu ni machungu sana kuona tunakuwa na viongozi wanaojari maslahi yao. Sasa tukiwapa nchi itakuwaje

Namashaka na ww si mwana cdm! uwepo wa lowasa ndan ya cdm ni faraja kwa kila mwana cdm ww unasema nn?
 
Kaka ukisikia UUUUWI!!! Jua kuwa limempata huyo,LUMUMBA B7FC wanaweweseka sana mwaka huu,UKAWA hatuna muda wa kujibu wapuuuzi wanaobuni propaganda,aje fasta hapa Jangwani leo siku ya uzinduzi MAJIBU yake atayapata sawia.
Namashaka na ww si mwana cdm! uwepo wa lowasa ndan ya cdm ni faraja kwa kila mwana cdm ww unasema nn?
 
si kila hoja lazima viongozi waijibu!!viongoz wetu wanajibu hoja kwa kuzingatia uzito wa hoja pamoja na weledi wa mtoa hoja! viongozi wetu hawana mda mchafu wa kujibu hoja kama hiyo kwani ni ya kipuuzi na haina mashiko!uwepo wa lowasa ndani ya cdm ni pigo kwa ccm na ndo maana hawalali kila siku kuja na hoja za kijinga so,tukizoea kuwajibu nasi tutakuwa wajinga, acha nape aendelee kujiliwaza!!
 
kwa tabia hii bila kujibu tuhuma za uuzwaji wa chadema kwa lowasa.
watu tumepigwa tumeisapoti dr slaa kazunguka nchi nzima kutuhamasisha leo chama kinauzwa kirahisi bila maelezo.
hii inadhihirisa na sisi wanachama tumeshauzwa
Babu we ndio unazinduka leo. Mbona umechelewa. Sisi wengine tulikumbwa na Dr Slaa mitaani na tukafanya maamuzi magumu kupitia ushawishi wake tukaaamua kuvaa magwanda. Lakini leo hii aliyetushawishi AMEKATWA.! unadhani na sisi wafuasi tufanye maamuzi gani magumu.
Huyu Lowasa tulikuwa tunazunguka nchi nzima kuwaaminisha wananchi kwamba ni mwizi na fisadi. Na tuhuma hizi za wizi na ufisadi sio siasa, ni tuhuma ambazo ni kweli na tulikuwa tukiaminisha wananchi kwamba na ushahidi tunao. Sasa leo Mbowe na Mbatia kwa tamaa ya pesa za kuhongwa wamwamua kukumbatia fisadi hilo na jizi. Unadhani sasa sisi tuliokuwa wafuasi tufanye maamuzi gani.? NASHAURI KWANZA TUWE WAAMINIFU KWA VIONGOZI WETU WALIOJITOA KWA SABABU KUJITOA KWAO WANAMAANISHA KUNA UCHAFU UMEFANYWA.
PILI, KWA KUWAKOMESHA HAWA KINA MBOWE NA MBATIA, NA SISI TUWAKATE. TUCHAGUE CCM WALAU DR MAGUFULI AMETUONYESHA MSIMAMO ULIONYOOKA.
TATU, TUTAFUTE NAMNA YA KUWAREJESHA VIONGOZI WETU DR SLAA NA PROF LIPUMBA KUPITIA VYAMA VINGINE LAKINI SIO CHADEMA. IKIWEZEKANA HATA TURUDI CCM KWANZA AU TWENDE ACT.
NNE SHIDA YETU NI MAENDELEO YA KWELI. TWENDE POPOTE TUNAPOIMANI NAPO. MAMBO YA VYAMA SASA YAMEPITWA NA WAKATI.
TANO, TUONYESHE MSHIKAMANO KWA HILI NA NASEMA MBOWE NA MAFISADI WENZAKE WATAISOMA NAMBA
 
Utumbo tupu! kachukue buku 7 zako Lumumba.Lowassa habari ya mjini.
 
Kwa tabia hii bila kujibu tuhuma za uuzwaji wa CHADEMA kwa Lowassa.
Watu tumepigwa tumeisapoti Dr Slaa kazunguka nchi nzima kutuhamasisha leo chama kinauzwa kirahisi bila maelezo.
Hii inadhihirisha na sisi wanachama tumeshauzwa

Hata kama chama kingeuzwa ingebidi mtu kama wewe utolewe kwanza maana huna thamani hata ya kulinganisha na embe bovu
 
Ukiona kijana anatetea kwa kilichotokea cdm kuhusu lowassa kununua chama jua ya kwamba huyo ni mmoja kati ya frnds of lowassa, 4u movt na teamlowassa tangu bado hata kutangaza nia ndani ya ccm makundi haya yalikuwepo,hivyo basi baada ya lowassa kununua chama kaja na vijana wake wapya ukijumlisha na wale ambao amewakuta ndani ya cdm ambao kiukweli HAWALITAKII MEMA TAIFA HILI BILA WAO KUJUA WANACHOKIFANYA AMA KWA KUJUA KWA KUMSUPPORT MH.LOWASSA.Watu tunaumia sana kuona dr.claa kampuzishwa na lipumba kajiuzulu hawa watu wawili NI MAIN ICON ZA UKAWA KWA KIASI KIKUBWA MNO.TUJIULIZE NI MISINGI IPI ILIYOFANYA DR NA PROF KUKAA CHONJO?TUSIWE WAFUASI TUSIYOYAJUA TUYAFUATAYO NI MBAYA SANA.KUMBUKA KIJANA UTAJAALIWA WATOTO MAISHANI MWAKO HIVYO BASI MUSTAKIBALI WA MAISHA YAO YAPI P
 
Kwa tabia hii bila kujibu tuhuma za uuzwaji wa CHADEMA kwa Lowassa.
Watu tumepigwa tumeisapoti Dr Slaa kazunguka nchi nzima kutuhamasisha leo chama kinauzwa kirahisi bila maelezo.
Hii inadhihirisha na sisi wanachama tumeshauzwa

Magamba mtatokwa mapovu hadi nyongo! Na bado! Chadema hatuna mwanachama wa sampuli yako! Nenda kampigie kampeni makupuli! Wanachama na wapemzi halisi wa chadema hawajawahi kupigwa mabomu kwa ajili ya kumpigania mtu binafsi (Slaa au Mbowe au Yeyote) ila tulishawahi kupigwa mabomu kwa ajili ya kuipigania Tanzania ili ikombolewe kutoka katika utawala dhalimu wa magamba! na mapambano yanaendelea!
 
Chadema Ni Chama Kikubwa Sana Tukisema Tuwe Tunajibu Kila Upuuzi Unaonezwa Hum Tunajishushia Heshma Kwa Mwenye Akili Anang'amua Mwenyewe
 
Kuna watu wengi sana leo wamelala pale uwanja wa Jangwani wakisubiri kuzinduliwa kwa Kampeni za Lowasa! Hizo mnazosema ni kama hadithi za Alfulela Ulela za miaka 1000 iliyopita.
 
Jee ccm imeuzwa kwa wachina ? Wamewajengea hall bureeee mnawalipa nini ? Machinga wauza sigara wa kichina ? Pumbaaf
 
Yako wapi? Kichinjio sio kuing'oa ccm Bali ni maamuzi yako binafsi kwa viumbe wajao. Ni maoni tu!
 
Kwa tabia hii bila kujibu tuhuma za uuzwaji wa CHADEMA kwa Lowassa.
Watu tumepigwa tumeisapoti Dr Slaa kazunguka nchi nzima kutuhamasisha leo chama kinauzwa kirahisi bila maelezo.
Hii inadhihirisha na sisi wanachama tumeshauzwa

Nenda Brela au kwa msajili wa vyama, kama vipi toa tamko wewe mwenyewe. Acha ujinga wa kuwadanganya watu mwaka huu watu wote wanataka mabadiliko, MACCM tu ndiyo hawataki maana wana madhambi mengi
 
Kwa tabia hii bila kujibu tuhuma za uuzwaji wa CHADEMA kwa Lowassa.
Watu tumepigwa tumeisapoti Dr Slaa kazunguka nchi nzima kutuhamasisha leo chama kinauzwa kirahisi bila maelezo.
Hii inadhihirisha na sisi wanachama tumeshauzwa

Hili halihitaji kukanusha, wananchi wenyewe tumeshakanusha. Vitu vingine havina ulazima wa kukanushwa, vinajikanusha vyenyewe.

Kukanushakanusha kila unalotuhumiwa ni kujipunguzia heshima mbele ya wananchi.

Hivi unajua Lowassa angekuwa mropokaji asingekuwa mvuto aliyonao?
 
Mimi zile sarakasi za kuchelewa kumtaja mgombea wao zilinitia shaka sana, mara oo tutatangaza tarehe 25 july, mara tunasubiri mkutana mkuu. sasa ikaja kubwa, tumebadili gia angani. yaani Mbowe ampokee lowassa bure? labda lingekuwa kabila lingine. CHAMA KIMEUZWA MCHANA KWEUPE. Hili halina ubishi lakini na sisi wengine tumebadili gia ardhini baada ya uchaguzi watakaoumia sana ni washabiki wa chadema, lakini Mbowe na baba mkwe wake watakua wametengeneza faida ya kutosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom