Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Ukweli si kuwakumbatia akina chenge

Hakuna aliyewakumbatia Mafisadi tatizo you are myopic unafikiri tunaokosoa ni CCM.
Sasa ndo ujue hatutaki akina Chenge au Lowassa na for your information wote ni kitu kimoja na sponsa wao ni Rostam. Ndo maana mmekuwa CCM B
 
Tatizo humu hatujuani nyuma kuna nani. Kwa kifupi tumepigana sana dhidi ya mafisadi ikiwa ni pamoja na hao uliowataja na hatujaanza na Tegeta Escrow. Tulikuwepo Buzwagi, EPA nk. Usifikiri tumezuka tu au tunaongea. Tupo humu na utatujua ukifuatilia posts zetu za huko nyuma. Wengine tumepigana katika hadhira siyo nyuma ya keyboard tu. Hivyo usitake kujifanya una uchungu na hii nchi zaidi yetu.
Narudia Mbowe na wapambe wake wamekiuza chama. Na wengine hatukuamini huko nyuma ingawa dalili zilikuwepo lakini leo imedhihirika. Narudia mwaka 2010 hatukupigia kura mafisadi na mwaka huu katika majimbo yetu na kwa ticket ya urais hatupigii kura mafisadi hususan fisadi papa Lowassa.
Lakini kwa kifupi umejipambanua na kukiri kuwa mmeuzwa na huna tatizo nalo. Mjadala unaendelea kwetu sisi tuliokataa kununuliwa.

Tatizo la hawa wasafishaji hawana weledi.
Ni vitoto vya form four vikicheza na tecno.

Ni fursa yao kuchagua kwa mara ya kwanza na wamekutana na mihemuko kama ya 1995.

Hawaelewi na wala hawafuatilii wachangiaji walioanza na jukwaa na trend au misimamo yao zamani na sasa juu ya EL.

Hata kina Tumaini Makene wanashindwa kulielezea hili seuse hawa kizazi cha tecno?
 
Hili uzi wanaliogopa kama ukoma. Wako bize kueneza fitna kuwa hii thread siyo ya 2011. Kumbe hawaelewi kuwa wengine tulikuwepo wakati post inawekwa.
Mbowe keshawauza na wanajua moyoni ila hawajui wafanye nini. Mpaka Dr Slaa, mzee muadilifu wamemtosa kisa pesa!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Acheni propaganda zisizokuwa na mashiko. Nasikia pia kuna watu wanalipwa humu ili cku nzima wakae kwenye mitandao humu ku-destabilize UKAWA. Nyie mnashindwa kuelewa hapa swala si UKAWA, ni watawala wameshindwa kuleta utawala unaohusu watu badala yake tz tumekuwa sasa na utawala wa vipandepande. Kuna sisi huku na wale kule. Sisi huku malofa na wale kule wenyewe... Hata ukisema vibaya UKAWA kiwango gani au hata kama upinzani hawapo bado utawala mtapata shida tu. Kumbuka ' A good leader is the one who make people go together' ikipotea hyo utaanza kutafuta mchawi, mara ;Oh.. niwazuie wasifanya uzinduzi,oh wsitumie helcopiter mara nk. Historia inaonyesha yote hayo huongeza chuki na mwisho utawala huondolewa. Nchi isiyokuwa ya kijeshi haiwezi kuendeshwa kwa nguvu za dola, ni lazima kauli za kutenga watu zisitumike na hasa kutoka watawala, ionekana kama ni demokrasia mtu kuhama, kutoa mawazo, kudai haki na mengineyo, tusije kuwa na ari ya kukomoana na hasa inapotoka kwa wenye dhamana ya kuongoza...tusijenge CHUKIIII.... Na HASA WAKATI HUU. Poleni watanzania.
 
Umesoma vizuri hii thread? Ni ya 2011. Na wewe unatafuta nini humu useme tunakesha kutwa kwenye mtandao. Na nyie mnakesha kuponda CCM.
Wengine tunapigana vita dhidi ya ufisadi iwe CCM au Ukawa! Na Ukawa mmemwingiza fisadi papa sasa ndiyo mjue tokea 2011 taratibu mlikuwa mnauzwa!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Tunaitaji kiongozi mwenye hurka ya uutendaji uuliotukukakama wa DDaktariMagufuli.
 
Kwa sasa wanachadema wataielewa hii habar kuliko wakati ilipotoka. Maana sasa hivi kaenda mbali zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom