georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Ila katika uuzaji wa Chama akishindwa kuuza wanachama wote na taratibu Chadema Asilia inaanza kudhihirika. Hawa hutawaona jukwaa mmoja na Chadema Lowassa. Daraja ya makundi haya mawili ni akina Mbowe yaani Chadema maslahi.
Tafuta cha kufanya wananchi mnaotuita wapumbavu, tumeshapata welevu hamuwezi kutudanganya tena ikiwa tumeuzwa bora hatujauzwa kwa chama cha wakwere.