kwa tabia ya kupokea kila mtu na kukitoa kwenye misingi kusimamia ufisadi ..oct watalimwa na itakua mwisho wa upiznan
Mm siku hizi nasoma tu zichangii kitu....nawamisi kina mzee mwanakijiji,teamo,denaamsi,pakamweusi,malaria sugu na ujinga wake,maria bonge,n wengineo wakongwe kuanzia enzi za jambo forum,ukiangalia mtirirko wa post tangu 2010,ni ujinga wa watoto wadogo kutuharibia jukwaa,invisible siku hizi mpole hata maonyo hutoi,ulishawahi kunipa maonyo makali kwa post zangu those days...bt nowerdays watu wanapost ujinga na matusi..upo wapi invisible
siwezi kuwa chadema tena
siwezi kuwa chadema tena
Mkuu, Mbowe kauza chama na wanacham. Naoa wewe umekataa kuuzwa...
chadema imeuzwa tena kwa bei chee tu,au unajitoa fahamu katika hili!!?hakuna asiye fahamu kuhusu kuuzwa kwa chadema na Mbowe ndio dalali katika hilowe inaonekana umeokotwa jalalani hujitambui kbs chama simali ya mtu hakiwez uzwa chadema ikoimara daima
we inaonekana umeokotwa jalalani hujitambui kbs chama simali ya mtu hakiwez uzwa chadema ikoimara daima
Mbowe= Nick Clegg. lol.
Ukweli ni kwamba mambo kama haya katika siasa yapo haswa katika nchi zetu hizi zakibongo. Ukweli ni kwamba JK will never let Lowassa be president (atatumia CC kukata jina lake, na sababu itakayosemwa ni ile ile iliompoteza Malecela kuwa Mwalimu alikua hamtaki na pia scandal na kujiuzulu kwake kunamfanya asifae).
Kwahiyo kuna logic kubwa hapa. Inawezekana sana hizi zikawa campaign za Zitto kujaribu kumpunguza nguvu Mbowe (kama ni uongo) lakini vile vile inawezekana ikawa kwamba ni mchongo wa CCM kuivunja nguvu CHADEMA (JK and his people might have found that it would be useful to undermine Lowassa through this and at the same time undermine CHADEMA). Lakini kwa kuzingatia jitihada za Lowassa kujisafisha na kujihalalisha kuwa na nafasi ya kiti cha Rais ametoa pesa nyingi kuwezesha wabunge wengi wa CCM na hata wa upinzani kushinda uchaguzi.
Makadirio yasio rasmi kutoka wanasiasa mbali mbali zinasema kuwa ametoa pesa kwa takribani asilimia 75% ya wabunge waliopo Bungeni hivi sasa. Pamoja na kununua viongozi wengine wa CCM, viombo vya usalama ikiwemo TISS na vile vile vyombo vya habari kama tunavyofahamu tayari.
Hii inaonyesha strategy ya huyu bwana ni kucontrol channels zote zinazotumika kuchuja na kuchagua Rais. Bila shaka anawatu wake Central Committee lakini JK anaweza mpoteza aidha kwa kutumia sababu ambazo nimetaja hapo juu haswa kama CHADEMA na vyombo vingine vya kisiasa vikiendelea kumuandama katika miaka hii mitano ijayo. Hivyo kwa kuzingatia tactics it is extremely logical and likely that these allegations are true.
There is a clear motive on Lowassa's part as well as Mbowe ( kama ilivyotokea kwa Clegg, na kama hali ilivyo Kenya kwa mfano). Ukweli ni kwamba hii kitu ni mbaya na inahitaji kuchunguzwa zaidi na kutumia misingi ya kuto kupendelea au kufikiria kwa kutumia hisia za uzalendo wa ki-CHADEMA. In other words, these allegations warrant serious objective investigation and analysis.
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linachongwa na 2015 mtaliona.