TEGETA KIBAONI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 651
- 142
Pesa mwanaharamu. Si umeona Mnyika alivyopigwa mkwara wa kukatwa ubunge kakubali kubonyea.
Mnyika atalazimika kumsafisha fisadi aliyesema ana ushahidi wa ufisadi wake.
It is now official kuwa Chadema ni chama kinachotumiwa kuhalalisha ufisadi kwa maslahi binafsi ya kibiashara ya Mbowe...
huyo mtanzania mwenyewe kakopa hela kwa wachina na wazungu hao haobora mbowe kauza kwa mTanzania mwenzie ccm imeuzwa kwa wazungu na wachina
Hii thread ina zaid ya mwezi.jf sijui inatumiwa na nani
Nini kimebaki kuwa cha kweli mpaka sasa?Mkuu hebu cheki vizuri thread ilianza 2011 siyo 2015!
Yan huyu baba sijui dhamira yake ni nini kwa taifa hili. Huku niliko ameshaleta pesa za kuwahonga bodaboda na ziko proved sio tetesi. Enyi vijana mwenzangu hebu fungueni macho taifa linaangamia najua CCM nayo sio njema heri mara mia basi tuchagua chama kingine tukipe ila kumpa El tutakuja jutia huo msururu wa best zake nia yao ni kuwekeza kwenye gesi na madini wapewe wao na hela anazomwaga mtaani sijui anazipata wapi. Imagine since 2011 hadi leo anamwaga tu pesa inasemekana not proved ana kiasi cha 3 trillions
Nini kimebaki kuwa cha kweli mpaka sasa?
Usiamini mwanasiasa anayetaka kuwaongoza watu kwa lazima hata kama wamemchoka hahahaha. wanambinu zaidi ya ujuavyo....
Hakuna mkuu, si tupo JF muda mrefu sana tunaelewa kinachoendelea. Hii thread ni authentic na msitake kujaribu kuhadaa watu.
Kaeni humu humu tuendelee kujadili hili suala. Waambie akina Molemo waje kukanusha
Hahaa
Kina Molemo hawawezi tia mguu hapa.
Hizi ndizo siasa eti walioaminiwa kwa miaka 54 wakafanya shaghala baghala wanaleta propaganda zao hapa!Kura zitapigwa tu mfumo ung'oke hatungadanyani kwa kufufua uzi eti kutokea Twitter,mbinu za CDM haziwasafishi CCM na kutuondoa kwenye njia kuu. Mabadiliko ni leo na sio kesho.
Hii thread ilikuwa na ka-poll kameishia wapi?
Hii thread ilikuwa na ka-poll kameishia wapi?