Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Tusivunjike moyo tuendelee kuwa elimisha vijana wenzetu wataelewa tu. Mbona hizi zipo nyingi tu post za kitambo kuna ya Lowasa kuhamia ukawa ya 2014 yan humo ndio aibu wanaukawa walivyojiapia kujiua kama El atahamia Ukawa....never say never...
Hebu fuatilia viapo vya wana_UKAWA vya mwaka 2014 kisha linganisha na maelezo yao ya sasa dhidi ya EL.
https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/780698-lowassa-kuhamia-ukawa.html