Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Tusivunjike moyo tuendelee kuwa elimisha vijana wenzetu wataelewa tu. Mbona hizi zipo nyingi tu post za kitambo kuna ya Lowasa kuhamia ukawa ya 2014 yan humo ndio aibu wanaukawa walivyojiapia kujiua kama El atahamia Ukawa....never say never...
Stunning!
Hii habari ilisikika huko nyuma na watu wakaipotezea lakini jamani lisemwalo lipo na kama halipo basi laja.
Mimi nikiangalia mwelekeo hata wa gazeti la Tanzania Daima hivi karibuni ninapata picha kwamba kuna jambo linachemka n siyo muda mrefu tunaweza kuona kitu cha kushangaza. Gazeti hili ambalo huko nyuma lilikuwa makini sana, kwa sasa limegeuka kuwa mdomo mahiri wa bwana Lowassa kila anapokuwa na lolote la kumpandisha chati. Hata suala la Dowans linavyopigiwa debe chanya na akina Hapiness Katabazi na wenzake ni jambo ambalo si la kupuuza.
Lakini hili la bwana Kibanda kuwa ndiye "mmiliki" wa jarida la UMOJA ambalo duru za uchuguzi zinasema ni mradi wa kumtakasa mkubwa huyu, na wakati huo huo akiwa ni mhariri mtendaji wa Tanzania Daima ni mambo yanayoleta mkanganyiko wa kujenga mashaka.
Chadema liangalieni hili kwa jicho lisilo la kishabiki ili kama lipo lizuiwe mapema maana litakiua chama au kukiondolea imani kwa wananchi.
Si shujaa tu, leo tunaambiwa ndiye mkombozi wa watanzania.Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa
CHADEMA (BAVICHA), kwa
taarifa hii tunarudia kukemea jitihada zozote za kumlinda na
kumtangaza Lowassa
kuwa shujaa katika taifa letu kwani hali hii ikiachwa
kuendelea inatoa mfano
mbaya kwa vijana wa Tanzania. Tusingependa kwa namna yoyote
katika taifa letu,
mtuhumiwa wa ufisadi aliyetajwa pia katika orodha ya
mafisadi(list of shame)
kulindwa na kuenziwa kama shujaa wa Taifa letu kwani ni
kuharibu maana nzima ya
ushujaa katika uwajibikaji.
Imetolewa tarehe 31 Agosti 2008
safirini Kenya na:
John Mnyika
Mkurugenzi wa Vijana
0754694553
Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa

Mwandishi wa thread hii atakuwa anayetaka kuwaambukiza wote wazimu wake! Hataji lini, wapi, kiasi cha pesa na jinsi zilivyolipwa! Watanzania si wajinga kiasi hicho! Akajipange upya na ahusishe vyombo wanavyotumiaga!
Kweli JF kiboko...haiachi kutunza kumbukumbu nzuri kama hizi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
CCM walishajifia long time ... Hao wakatoliki waliouza nchi yetu wanafanya kila wawezalo ili waendelee kutawala .... bahati mbaya kwao...
Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa
CHADEMA (BAVICHA), kwa
taarifa hii tunarudia kukemea jitihada zozote za kumlinda na
kumtangaza Lowassa
kuwa shujaa katika taifa letu kwani hali hii ikiachwa
kuendelea inatoa mfano
mbaya kwa vijana wa Tanzania. Tusingependa kwa namna yoyote
katika taifa letu,
mtuhumiwa wa ufisadi aliyetajwa pia katika orodha ya
mafisadi(list of shame)
kulindwa na kuenziwa kama shujaa wa Taifa letu kwani ni
kuharibu maana nzima ya
ushujaa katika uwajibikaji.
Imetolewa tarehe 31 Agosti 2008
safirini Kenya na:
John Mnyika
Mkurugenzi wa Vijana
0754694553
Siwezi piga kura kwny poll za kishenzi
Dhambi ya udini mbaya sana.... Ina maana ndani ya Chadema hakuna Wakotoliki ni wa dini gani waliomo humo?CCM walishajifia long time ... Hao wakatoliki waliouza nchi yetu wanafanya kila wawezalo ili waendelee kutawala .... bahati mbaya kwao...