Ukawa walikuwa mstari wa mbele kuchukia ufisadi. Walipiga kelele na dunia yote ikasikia. Kila mtu alilia juu ya hilo.Nina imani na lowasa
yeah, deal ya ccm kumchafua lowasa kwa Uzi uu imebuma mkuu, kasome na comment ya "BANYIMWA" mwanzo wa hii thread utagundua issue hii imetengenezwa kumchafua el! Huyo banyimwa katika comment yake analalamikia kitendo cha gazeti la mtanzania daima huko nyuma kutumika kumkashfu lowasa ila sasa linamsifia!! Na ujiulize gazeti hilo limeanza kumsifia lowasa lini kama sio majuzi baada ya mafuriko!! CCM mnanuka kwa kupika huongo jamani! Mi mwenzio akili imejaa bado na ndiyo maana unaambiwa za kuambiwa changanya na za kwako.. Deal ya CCM kumchafua lowasa imebumaaaaaaaaaaaaaaaaaaamkuu tukubali tukatae lowasa anakubalika sana sana sana hata km wachache hawapendi kuski hii
Mafisadi wapo ndani ya CCM mkuu, wanafugwa, wamekumbatiwa huko! Lowasa angekuwa fisadi ungetuka mshampeleka mahakamani, ila aibu iwe kwenu mmebakia kuchonga tu!! Hii deal yenu ya bango lenu mliloweka hapa imebumaa mzee, Ni ya kutengeza nimeshapata na ushahidi!! Mtachubuka vidole vya mikono kwa kumchafua mzee wa watu na Mbowe kwa mahuongo yenu, ndoroboooooooo nyinyiUkawa walikuwa mstari wa mbele kuchukia ufisadi. Walipiga kelele na dunia yote ikasikia. Kila mtu alilia juu ya hilo.
Lakini imekuja kugundulika kuwa chadema na ukiwa yote walichukia ufisadi kwa sababu walikuwa hawajapata nafasi ya kuwa mafisadi. Sasa nimafisadi hawana habari na kuwasema mafisadi kwasababu watakuwa wanajivua nguo.
Ukawa ni mafisadi. Tuwaogope. Tusiwape kura.
Mkuu mie niko sensitive sana na allegation ya aina yoyote ile, huwa ninapenda kujifunza na kufahamu vitu vipya ikiwezekan kila siku. Baada ya allegation hii niliamua kufuatilia posts zote za nickname nimeona ni kweli tarehe 31 Machi 2011 aliianika hii post hapa jamvini, kong'oli kwenye hii link hapa chini kisha scroll hadi upate tarehe 31 Machi 2011.:
https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=39683396&pp=&page=3
Tumeamua kumwamini aliyekuwa anasadikika kuwa fisadi papa maana kashatolea ufafanuzi kuwa amri ilitoka kwa bosi wake juu ya kusign mkataba wa Richmond na yeye alitaka kuuvunja! Tumemuamini maana hata police wa Mwanga waliomsuia asiende usangi kwenye msiba wa mzee kisumo walisema wamepata amri ya kumzuia toka mamlaka ya juu ila wao kama police hawamkatazi mtu kwenda kuzika ila wanatekeleza amri!! Nimegumdua mamlaka ya juu inanguvu kuliko ya chini na amri zote zinatoka mamlaka ya juu, nimegundua mamlaka za chini ni ya watumwa wa kukubali amri ya bosi (mkoloni mweusi). So wote hawana hatia.... Kwi, kwi, kwi, kwi, kwi....deal kwishbey, deal imebumaUzushi kwa watu kama nyie msio na haiba wala weledi hivi kusoma hujui hata picha tu huoni hivi inawezekana vio mtu uliekua unamtangaza tanzania nzima kwa wananchi ukimuita fisadi papa tena hafai leo hii unaaminishwa tena kwa siku moja eti ni msafi ila mfumo heeeee mmepotea sana chama pekee cha kushukuriwa ni CCM hakina tabu yani mwendo wa magufuli hauzuiliki HapakaziTU
Mtahangaikaaaa kumchafua Lowassa, na mmeshimdwaaaaaaa...!!! mamaaaaaeee
Kaka hayo sio mambo ya mtaa wa pili ila ni mambo ya manufaa kwa nchi nzima na watanzania wote wapate kulitambua hilo na waachane na siasa za lowasa maana hazina ukweli bali ulaghai ndio maana anaamua kuwatumia watu wa hali ya chini kwa kuwapa pesa ili wamtukuze OGOPA SANA MICHEPUKO SIO DILI #HAPAKAZITU CCM MBELE KWA.MBELE HAPA MAGUFULI TU
Kanjanja upo kazini, haumpati mtu hapa sumu yako kamwage baharini wajanja tushashtuka ccm Ni kimeo/magumashUongo hupanda lifti, ukweli hupanda ngazi.
Sasa tunaanza kujua nini hasa chanzo cha ugomvi wa Zitto na Mbowe.
Na kwa nini Mbowe anatumia nguvu nyingi sana kuiaminisha jamii kuwa Zitto alikuwa msaliti.
Khaa!! Pombe bana..ngoja mtanyooka tuyeah, deal ya ccm kumchafua lowasa kwa Uzi uu imebuma mkuu, kasome na comment ya "BANYIMWA" mwanzo wa hii thread utagundua issue hii imetengenezwa kumchafua el! Huyo banyimwa katika comment yake analalamikia kitendo cha gazeti la mtanzania daima huko nyuma kutumika kumkashfu lowasa ila sasa linamsifia!! Na ujiulize gazeti hilo limeanza kumsifia lowasa lini kama sio majuzi baada ya mafuriko!! CCM mnanuka kwa kupika huongo jamani! Mi mwenzio akili imejaa bado na ndiyo maana unaambiwa za kuambiwa changanya na za kwako.. Deal ya CCM kumchafua lowasa imebumaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Khaa!! Taratibu usingizi utawatoka tu. Mkiamka ndiyo mtaujua ukweliumeonaaaa mkuuuuu wametengeneza na wameshindwa, haya majizi ya Mali ya umma
Khaa!! Kuonja siyo shida bali shida ni matokeo ya kuonjaHuna jipya mkuu usidhanie unavyoonja wewe na Mimi naonja hivyo hivyo!!
Mimi nimeshaugundua huu ujinga wenu ila ukihuelewa wewe imetosha, Mimi sijui kuelewa upumbavuKhaa!! Tulia mdogomdogo utaelewa tu
Khaa!! Utaelewa tuMimi nimeshaugundua huu ujinga wenu ila ukihuelewa wewe imetosha, Mimi sijui kuelewa upumbavu