Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Ndio hapo sasa, lazima uelewe yeye ni nani kwenye hiyo kampuni, unaweza kumlaumu kama yeye ni Director ambaye ameshindwa kuiendesha kampuni yake vizuri hivyo hafai kuwa kiongozi wa chama cha siasa. Vile vile unaweza kumwomba msajili wa makampuni kumzuia asiwe Director kwa kipindi fulani, kwa hiyo basi kuna mengi hapa ambayo hayako wazi.

Kampuni inapokopa directors wake wote ni liable. Mbowe kama mmoja wa directors wa hiyo kampuni yake ni liable kwenye huo mkopo wa NSSF.

Huwezi kukopa bila resolution ya board of directors kukubaliana juu ya hilo.

Hata kwenye hii case, nimesoma kwamba wanaodaiwa ni watu watatu, Mbowe, mkewe na mrithi wa director wa tatu ambaye amefariki, nahisi huyu ni mrithi wa babake Mbowe.

Director mmoja wa kampuni hawezi kukopa peke yake, lazima wakubaliane kwa pamoja kwamba wamekubali kukopa vinginevyo hakuna bank itakayotoa huo mkopo.
 
Hivi hao Mbowe Hotels wanadaiwa kiasi gani?

Ni swali waliloulizwa watu wanaoifahahamu hii issue kwa undani kama mwenzetu Mtanzania, lakini amegoma kabisa kutoa jibu sahihi.

Mtanzania bado tunasubiri jibu sahihi.

Mfwatiliaji,

Sio wajibu wetu kujua Mbowe anadaiwa ngapi. Bank wamesema anadaiwa na yeye pia amesema anadaiwa.

Haijalishi unadaiwa milioni moja au bilioni moja, sauala hapa ni kwamba anadaiwa bado miaka 18 toka apate mkopo ambao ulikuwa uwe wa miaka sita.
 
cha kushangaza ni kwamba mbowe mwenyewe anadai anataka maongezi kati yake na NSSF, wakati huo huo akidai kwamba pesa hizo sio tatizo kwake, sasa kinachomzuia kulipa ni nini ?
 
Kinachomzuia kulipa ni kuwa NSSF sasa haitaki kusema ina mdai bei gani baada ya kukopa milioni 15 na kulipa milioni 65

Asha
 
Siku nyingine uone aibu ya kuandika mambo yanayofunua udhaifu wako wa ndani. Sentensi yako ya kwanza na ya mwisho zinaonyesha wewe ni mtu muovu katika nafsi yako, na hapa unataka kumwaga uchafu kuchafua nafsi zetu. Viwango hivyo tumevipita, kajitukane mwenyewe! Huna sababu ya kuandika kama huna cha kuandika.

NAJUA WEWE NI MCHAGA NDIO MAANA UMEKURUPUKA KUJIBU
 
DUUH!!!
Wameshika kwenye kengele bwana MBOWE,

tumekalia kutetea mtu mmoja badala ya jamii nzima kama Mbowe anashindwa kulipa deni, inafika mahala mke wake anapelekwa mahakani na baba yake (Mzee Mtei) ni mtu mwenye heshima kwenye jamii, inakuwaje anapopatikana Kingwendu na mkopo wa benki?

swali kila anayedaiwa atumie kinga ya siasa? deni hili kalikopa kabla Chadema haijazaliwa wala vyama vingi.

Tukubali kuwa ni siasa zinatumika kumvuruga lakini alikopa kabla ya kuwa mwanasiasa na kama ni siasa deni hili lingetajwa 2005 wakati anagombea urais lakini hatukuona na huu si wakati wa kampeni za urais? au kuna kampeni za uchaguzi hivi sasa? kwa mujibu wa tume ya uchaguzi mimi sijasikia.

Jamani badilikeni tukitumia ujinga huu (uzezeta) itafika mahala hata jambazi ataingia upinzani na kuvamia mabenki akikamatwa tunasema siasa imetumika kumuharibu, Mahalu nae ni Chadema?

Hivi watu hawawezi kusema kuwa chepeo ni chepeo na si jembe?

Mbowe ni binadamu ana mapungufu yake vipi leo mnataka kumfanya malaika? na kibaya zaidi maisha yake hakujiandaa kama atakuja kuwa Mwanasiasa hivyo ana uchafu mwingi.

Naomba wataalam wa masuala ya benki waje hapa.kuna watu wengi hawatumii Credit Cards kwa kuogopa riba(Interest).

Milioni 15 ni fedha za umma na ni nyingi sana huhitaji kusoma Mzumbe University kulijua hilo
.

Sema wewe mzeee. Watu humu wanasema kwamba deni lake ni la kisiasa, ili kumharibia. hiyo ni excuse ambayo sipo tayari, na sitokuwa tayari kuisikia. Deni kakopa kabla ya yeye kuwa mwanasiasa, sasa iweje hili ligeuzwe kuwa la kisiasa, nadhani wao wenyewe hawalioni hili !

Also ni kweli kama ulivyosema siasa pia huweza kutumiwa kuharibu mtu, especially kwenye time ya uchaguzi, lakini cha kushangaza haikuibuliwa wakati wa uchaguzi, na hamna uchaguzi anytime soon, so that prooves hii ishu sio ya kisiasa kama wengi wanavyodai. Tume ya uchaguzi haijatangaza uchaguzi wa aina yoyote anytime soon.

Na ni kweli kwamba wakati umefika watu kusema chepeo ni chepeo na si jembe !

Nafikiri hata mimi nikiwa mwanasiasa, nikiwa upinzani naweza kuomba mkopo na wakinidai baada ya kuwa mwanasiasa, dawa yao ni kukataa na kusema wananisingizia na kusema hilo ni jambo la kisiasa maana wengi watanielewa !

MBOWE mwenyewe kakubali anadaiwa, na kasema hizo fedha ni ndogo kwake na hazimsumbui, watu mnakazania hadaiwi, hadaiwi ! iweje akubali ?? tusiwe mazezeta na kufanya kila jambo kuwa la kisiasa !
 
Kinachomzuia kulipa ni kuwa NSSF sasa haitaki kusema ina mdai bei gani baada ya kukopa milioni 15 na kulipa milioni 65

Asha

una uhakika na unachosema kwamba NSSF haijui inamlipa kiasi gani ?? Iweje mbowe aseme kwamba kiasi (fulani) sio kikubwa kwake na atalipa tu bila shida ila kwanza anataka maongezi ? !!
 
maongezi gani tena hapo........?nauliza tena na sasa nauliza.............DAWA YA DENI NI NINI..........(mbowe anasema maongezi...1)....?
 
hata kada nimejiuliza mara nyingi maongezi ya nini au ndio kunigoshieti au sijui nini, wakati anajua fika kwamba dawa deni ni kulipa !
 
Sema wewe mzeee. Watu humu wanasema kwamba deni lake ni la kisiasa, ili kumharibia. hiyo ni excuse ambayo sipo tayari, na sitokuwa tayari kuisikia. Deni kakopa kabla ya yeye kuwa mwanasiasa, sasa iweje hili ligeuzwe kuwa la kisiasa, nadhani wao wenyewe hawalioni hili !

Also ni kweli kama ulivyosema siasa pia huweza kutumiwa kuharibu mtu, especially kwenye time ya uchaguzi, lakini cha kushangaza haikuibuliwa wakati wa uchaguzi, na hamna uchaguzi anytime soon, so that prooves hii ishu sio ya kisiasa kama wengi wanavyodai. Tume ya uchaguzi haijatangaza uchaguzi wa aina yoyote anytime soon.

Na ni kweli kwamba wakati umefika watu kusema chepeo ni chepeo na si jembe !

Nafikiri hata mimi nikiwa mwanasiasa, nikiwa upinzani naweza kuomba mkopo na wakinidai baada ya kuwa mwanasiasa, dawa yao ni kukataa na kusema wananisingizia na kusema hilo ni jambo la kisiasa maana wengi watanielewa !

MBOWE mwenyewe kakubali anadaiwa, na kasema hizo fedha ni ndogo kwake na hazimsumbui, watu mnakazania hadaiwi, hadaiwi ! iweje akubali ?? tusiwe mazezeta na kufanya kila jambo kuwa la kisiasa !

Suala la deni NSSF CCM walilitumia wakati wa uchaguzi mkuu 2005. Haya waliyoyaandika Rai sasa yalisambazwa sana 2005 lakini magazeti yakakataa kuandika. Ni gazeti moja tu la MZALENDO ndio likaandika.

NSSF wamepewa maelezo wasilimalize ili swala ili Mbowe aendelee kuwa na kitanzi. Ni mahakama pekee sasa itasema wazi anadaiwa bei gani na naamini mahakama ikisema, atalipa.

Kwa nini NSSF hawataki kusema wanadai kiasi gani wala hawataki majadiliano?

Dada Asha,

Usitufanye wana JF mbumbumbu kweli kweli. Kuna mabaraza mengi tu ya kushughulikia migogoro ya kibiashara Tanzania.

Pia kuna mahakama kuu, Mbowe hajaenda huko kote kudai kabambikiziwa deni.

Case aliyofungua Mbowe ni tofauti kabisa, ni case ya kudai amri ya mahakama isitekelezwe, kitu ambacho ni tofauti.

Alikuwa na miaka mingi tu ya kumaliza deni lake lakini hakufanya hivyo. CCM sio wajinga kwamba watawaambia NSSF, wamkabe tu Mbowe bila sababu. CCM wanatumia weaknesses zilizopo ili kuwakamata wanasiasa wa upinzani. Weaknesses nyingi ni kwenye mambo ya biashara. Ndio mbinu hizo hizo hata mafia wa Italia wanatumia. Hawawezi kumkaba mtu asiye na tatizo, sana sana wataishia kumuua. Wao wanakuvuta na kukuingiza kwenye scandal, kisha wanahakikisha unabaki kuwa nao.

Mbowe baada ya kuamua kuwa mwanasiasa tena wa upinzani, alitakiwa alimalize hili deni la NSSF. Maana kwa kukopa NSSF tu tayari kuna tatizo hata kama angelikuwa analipa ontime.
 
Mtanzania,
Kwanini unasema kitendo cha kukopa NSSF ni tatizo hata kama unalipa on-time? Hapo sijakufahamu vizuri.
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ni mmoja kati ya mafisadi wazoefu hapa nchini. Alianza ufisadi huo miaka mingi iliyopita tangu alipokuwa karani wa mahesabu katika Benki Kuu akiwa chini ya baba mkwe wake, Edwin Mtei aliyekuwa Waziri wa Fedha, wakati huo, kabla hajatimuliwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, mwaka 1979 kwa kulazimishwa ajiuzulu.

Kati ya mwaka 1993 na 1994, Mbowe alizama zaidi katika ufisadi akisaidiana na dada yake, Selina, aliyekuwa akifanya kazi Telex Room katika Benki Kuu kwa kushirikiana naye kutorosha fedha za kigeni kwenda nje ya nchi wakitumia akaunti ya Mhindi mmoja anayeitwa Shiraz aliyekuwa na akaunti yake huko London, Uingereza.

Selina ambaye baada ya kuiba sana na kaka yake na kukaribia kunaswa alikimbilia Marekani ambako amekuwa akiishi kwa miaka mingi iliyopita anahofia kurudi kutokana na dhambi aliyoitendea Tanzania.

Takwimu za ufisadi wa Mbowe zimejaa uharamia mkubwa kwa taifa, hivyo haieleweki kuona hivi leo anatumia kivuli cha Chadema kufichia uovu wake kwa Watanzania alioshiriki kwa miaka mingi kuwaibia fedha zao na kutaka aonekane kuwa ni kiongozi mwadilifu na pia mwenye uchungu mkubwa na raslimali za nchi yetu.

Kama Mbowe anabisha kuhusu ufisadi wake huo natoa changamoto kwake awaeleze wananchi undani na ukweli wa alivyokopa shilingi milioni 800 katika Benki ya Greenland, akachangia kuifilisi kinyume na maelezo aliyotoa hivi karibuni kwa waandishi wa habari akidai eti kuwa deni hilo alilipa huku akijua kwamba ni muongo.

Watu wanaelewa alivyofanya hila na mbinu chafu kuhakikisha documents zilizokuwa na kumbukumbu za mkopo wake zinaibwa kutoka benki hiyo na kupelekewa, akazichoma moto ili kupoteza kabisa ushahidi, jambo alilofanikiwa na ndiyo maana leo anaweza kusema kwa kujiamini kwamba alikopa na kulipa deni zima.

Kuiba nyaraka za mkopo na kuzichoma moto ili zisiwepo kabisa ndiko kulipa deni hilo?!
 
Umetumwa ? ama ndo unalipa fadhila ya pesa ulizopewa na Nchimbi et al? Tupe thibitisho ya haya madai yako.....hizi hadithi za alinacha hazina mbele wala nyuma....Mod ipeleke hii mahali pake, udaku

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ni mmoja kati ya mafisadi wazoefu hapa nchini. Alianza ufisadi huo miaka mingi iliyopita tangu alipokuwa karani wa mahesabu katika Benki Kuu akiwa chini ya baba mkwe wake, Edwin Mtei aliyekuwa Waziri wa Fedha, wakati huo, kabla hajatimuliwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, mwaka 1979 kwa kulazimishwa ajiuzulu.

Kati ya mwaka 1993 na 1994, Mbowe alizama zaidi katika ufisadi akisaidiana na dada yake, Selina, aliyekuwa akifanya kazi Telex Room katika Benki Kuu kwa kushirikiana naye kutorosha fedha za kigeni kwenda nje ya nchi wakitumia akaunti ya Mhindi mmoja anayeitwa Shiraz aliyekuwa na akaunti yake huko London, Uingereza.

Selina ambaye baada ya kuiba sana na kaka yake na kukaribia kunaswa alikimbilia Marekani ambako amekuwa akiishi kwa miaka mingi iliyopita anahofia kurudi kutokana na dhambi aliyoitendea Tanzania.

Takwimu za ufisadi wa Mbowe zimejaa uharamia mkubwa kwa taifa, hivyo haieleweki kuona hivi leo anatumia kivuli cha Chadema kufichia uovu wake kwa Watanzania alioshiriki kwa miaka mingi kuwaibia fedha zao na kutaka aonekane kuwa ni kiongozi mwadilifu na pia mwenye uchungu mkubwa na raslimali za nchi yetu.

Kama Mbowe anabisha kuhusu ufisadi wake huo natoa changamoto kwake awaeleze wananchi undani na ukweli wa alivyokopa shilingi milioni 800 katika Benki ya Greenland, akachangia kuifilisi kinyume na maelezo aliyotoa hivi karibuni kwa waandishi wa habari akidai eti kuwa deni hilo alilipa huku akijua kwamba ni muongo.

Watu wanaelewa alivyofanya hila na mbinu chafu kuhakikisha documents zilizokuwa na kumbukumbu za mkopo wake zinaibwa kutoka benki hiyo na kupelekewa, akazichoma moto ili kupoteza kabisa ushahidi, jambo alilofanikiwa na ndiyo maana leo anaweza kusema kwa kujiamini kwamba alikopa na kulipa deni zima.

Kuiba nyaraka za mkopo na kuzichoma moto ili zisiwepo kabisa ndiko kulipa deni hilo?!
 
Sasa serikali inasubiri nini kumkamata na kumchukulia hatua kali za kisheria?

Gamba la nyoka umeuliza swali zuri sana .Huyu jamaa amekuwa Tanzania muda na zaidi naona anawasumbua sana CCM kila kona kweli wanashndwa kumkamata ?Haya mtoa mada lete habari njema hapa mana umeombwa maandiko ama ushahidi wa madai yako.Na hasa Green Bank na mengineyo .
 
Back
Top Bottom