Mbowe aalikwa kwa Obama

Kusaidia ndugu wajitegemee si ujamaa tu, ni compassionate pia. Wewe utamwacha ndugu yako anasota huku unadai utasaidia nchi? Sahau hilo, charity starts at home.

Hayo ndio mambo ya akina JK kushindwa kusaidia Chalinze lakini watu wakategemea ataweza kwenye nchi.

Siasa ni kuhusu matatizo ya watu na namna ya kuyatatua. Sasa kama ameshindwa hata kumu inspire mdogo wake asome, hapo ninabaki na maswali mengi sana.

Ni jambo lingine mtu kushindwa kutumia opportunities anazopewa, hii ya sasa ni kama huyo kijana hana hata mawasiliano tu na kaka yake.

Mnajidai kupinga ujamaa huku ujamaa umejaa dunia nzima?
 
Back
Top Bottom