Mleta mada akileta mada bila source changanya na zako...Mleta mada amesema alikataa dhamana.
Kweli tutafika japokuwa nimbali sana. Haya madaraka mtu ukishalewa sijui unakuwa hauoni au hata haufikiri au ndio unatumia "Masaburi" kuifikiria badara ya kutumia akili. Jama hivi sijuzijuzi tu vijana wa UVCCM kina Beno Marisa waliandamana Arusha bila ya kibali na uongozi wa CCM Arusha walitaka wakamatwe kwakuwa hawakuwa na baraka zao wala vibali vyao lakini mkuu wa polisi wa wilaya alishindwa kufanya hivyo?, tena kesho yake kaimu mkuu wa polisi mkoa akasema wamepata taharifa hivyo watawaonya wasirudie tena. Sasa huyu Rema aliyeamua kutoka mahakamani kwa miguu badala ya kutumia ari kwanini akamatwe na asionywe kama kina Beno Marisa, na ninakumbuka hata yule M/kiti wa UVCCM Arusha yule Milya nae alikwenda na kundi la watu pale polisi lkn hajachukuliwa kama kafanya maandamano.
Haya mambo yanasumbua sana
According to Michuzi,aliachiwa baada ya kukidhi masharti ya mdhamana.Nin ini kisichoaminika? amepelekwa mahakamani,baada ya shahuri kusikilizwa alitakiwa apewe mdhamana,hakukuwa na mtu wa kumdhamini nae akawaambia haitaji kudhaminiwa na mtu na hatajidhamini mwenyewe.
Then MAHAKAMA IKAMUACHIA BILA MDHAMANA.mMEELEWA?
Hii ni kali watapindisha kesi hadi wajione wajinga, bila Chadema haya tungeyaona wapi.
We "mabaibui" nawe,btw i know a cuter Faiza.Is that yu?Pumba zingine hata magwanda wenyewe wamezistukia.
Manene ni MANENOkazi kwelikweli mshikaji jifunze kuandika kwa usahihi manene yafuata: badara ni badala,marisa ni malisa,taharifa ni taarifa rema ni lema
According to Michuzi,aliachiwa baada ya kukidhi masharti ya mdhamana.
Uongo mtupu. Mahakama haiongozwi kisiasa kama unavyofikiria. Hakuna anayemuogopa Mbowe.
kazi kwelikweli mshikaji jifunze kuandika kwa usahihi manene yafuata: badara ni badala,marisa ni malisa,taharifa ni taarifa rema ni lema
Naomba kueleweshwa maana mimi sio mwanasheria!
Hivi inawezekana mtu (mtuhumiwa) akaachiwa bila dhamana?
Kuna dhamana tofauti tofauti: Mtu anaweza kujidhamini mwenyewe au kudhaminiwa na mtu mwingine. Je kama haya mawili hayatokei mtu ataachiwa vipi AU waliomwachia Mh. Mbowe (big up to him) wamevunja sheria? Kama wamekiuka utaratibu ni hatua gani wanaweza kuchukuliwa kisheria?
Unashangaa ya mbowe mbona hushangai ya epa waliorudisha pesa za wizi? ukiona manyoya ujue kaliwa usishangae hio ndio serikali ya ccm bwanaInawezekana mahakama kumwachia mtuhumiwa yeyote bila kuwepo dhamana?Wanasheria tusaidieni.Kama haiwezekani nini credibility ya mtu aliyeleta habari hii?

Pia mimi sio mwanasheria ila nimewahi kusikia hakimu anapotaka kufanya maamuzi anaweza kutumia vitu vitatuNaomba kueleweshwa maana mimi sio mwanasheria!

Hivi inawezekana mtu (mtuhumiwa) akaachiwa bila dhamana?

Kuna dhamana tofauti tofauti: Mtu anaweza kujidhamini mwenyewe au kudhaminiwa na mtu mwingine. Je kama haya mawili hayatokei mtu ataachiwa vipi AU waliomwachia Mh. Mbowe (big up to him) wamevunja sheria? Kama wamekiuka utaratibu ni hatua gani wanaweza kuchukuliwa kisheria?