Ukimtoa diamond platnumz kama mmoja wa waimbaji waliofanya kazi wakiwa peke yao, Mbosso ndio msanii namba mbili kwa kutengeneza views nyingi youtube akiwa kaimba mwenyewe(sole artist kama sijakosea).
Kwa sasa sina shaka na mbosso kama ndio msanii pekee anae umiza kichwa akiwa peke yake na kutoa vibao vinavyogusa sehemu husika sio mtu wa copy and paste kabisa akiwa peke yake.
Kuna baadhi wanasema nyimbo za mbosso acheni aimbe yeye haziigiki.