Mbona Waziri Mkuu kaja na hii kauli?

Dadavua kidogo Mkuu
 
Naiona vita kuu ya Dunia kati ya wanawake na wanaume ikija mapema kuliko nilivyotarajia.
 
Hakuna watu wenye stress kama wana chadema
Pamoja na kwamba mimi ni shabiki tu wa vyama sina kadi ya chama chochote but hi umedanganya, ukiangalia mikutano hasa ya kampeni, wana chadema hua wapo happy kuliko wana ccm, angalia video zote za kampeni, zipo na utakubaliana na mimi, always wana ccm wapo so stressed kuliko wa vyama vya upinzani hasa Chadema.

Back kwenye hu uzi; hivi hi ya PM sio ya enzi zile za fununu za mhe Magufuli wakati anaumwa? I think sio ya sasa hvi hi.
 
Furaha yao huwa inadumu kwa zile siku 30 za kampeni tu!

Tena huwa ni mehumuko ya kina Lisu tu
 
Mmmmh kaisemea msikitini tena ama???

Huyu mwamba sina imani na kauli zake, huwa anamaanisha tofauti na achoongea.
 
nilivyoona hiyo mara ya kwanza nikajua ni ya wakati ule wa mwendazake, kumbe na huyu ameshaanza "kuwa imara"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…