Wakikuyu ndo wako hvyoMke kabila gani?mkikuyu?
Hehehe!! Kabila tena?? Ni Mtanzania, siunajua tena kwenu hamuulizani makabila, hivyo wewe generalize tu kwa wanawake wote bila kuangalia kabila gani.
MK254 unapozaa mtoto, unamlea, unacheza nae, umeshamzoesha kuchezea gololi zako, sasa siku akichezea gololi zako mbiele ya wageni utasema huyu mtoto ana tabia mbaya? Huyo rafiki yenu amezoesha mkewe hivyo au inaelekea ndani ya nyumba mama ndiye mvaa suruali.