Mbona wanawake mna wivu wa kijinga hivi

Tumesafiri kikazi na jamaa yangu fulani Mtanzania. Sasa yeye muda mwingi baada ya shughuli za kazi huwa anaingia chumbani hotelini na kubaki humo ndani muda wote, ilhali mimi na wenzangu tunatoka na kuserebuka mjini, tunamuacha na tukirudi tunamkuta ametulia anasoma soma wala hataki kabisa kutoka.

Tatizo ambalo sielewi ni pale mkewe amekua mgomvi, anampigia simu na kufuata fuata akimtuhumu mambo ya ovyo. Kuna siku jamaa alikua amelala na aliweka simu kwenye silent mode, alipoamka akakuta miscalls nyingi sana za mkewe, na meseji kibao za ugomvi.....yaani kichizi.

Sasa swali langu kwa wanawake, hususan mlioolewa, mbona mnakua na wivu wa kijinga hivi? Mnafahamu kwamba nyie ndio chanzo cha waume zenu kuchepuka maana kama ukimzingua sana hivi inabidi awe na mchepuko basi ili ndio tuhuma zako ziwe na mantiki. Na kingine, nani aliwadanganya kwamba kupiga piga simu ovyo na meseji ndio zitazuia mwanaume kuchepuka. Mtie akili jamani.
Naomba namba ya huyo jamaa yako.
Unajua kuna wanawake wengine sijui wapoje.
 
Wasahili wanasema lisemwalo lipo machale yashamcheza huyo mwanamke sasa anatafuta ukweli
 
Kuchunga usalama wa mali zako ni muhimu.

Btw, ilikuwaje akakuhadithia hayo yote? au na ww unaona wivu?

Alilazimika kuwa na brother to brother talk baada ya sisi kumskia anavyojitetea kila akipokea simu ya mkewe, ikatulazimu kumhoji kulikoni jameni. Maana kila akipokea, tunamskia anavyojibu maneno kama 'jameni mke wangu mbona unakua hivyo, nimeshinda ndani na sijatoka, mbona huniamini' Simu zake zimekua ni mbona hiki...... mbona kile.... Mke hataki kuwa muelewa.

Kwa kweli nimeomba jamaa aniachie niongee na mkewe, nimpigie simu na kumshauri, maana inauma nikiona jamaa anavyohangaika kumuelewesha mke asiyemskliza wakati kwa kweli jamaa hatoki. Tunamwacha na kufanya yetu mjini, tukirudi tunamkuta yupo busy na vitabu, magazeti basi.
 
Tumesafiri kikazi na jamaa yangu fulani Mtanzania. Sasa yeye muda mwingi baada ya shughuli za kazi huwa anaingia chumbani hotelini na kubaki humo ndani muda wote, ilhali mimi na wenzangu tunatoka na kuserebuka mjini, tunamuacha na tukirudi tunamkuta ametulia anasoma soma wala hataki kabisa kutoka.

Tatizo ambalo sielewi ni pale mkewe amekua mgomvi, anampigia simu na kufuata fuata akimtuhumu mambo ya ovyo. Kuna siku jamaa alikua amelala na aliweka simu kwenye silent mode, alipoamka akakuta miscalls nyingi sana za mkewe, na meseji kibao za ugomvi.....yaani kichizi.

Sasa swali langu kwa wanawake, hususan mlioolewa, mbona mnakua na wivu wa kijinga hivi? Mnafahamu kwamba nyie ndio chanzo cha waume zenu kuchepuka maana kama ukimzingua sana hivi inabidi awe na mchepuko basi ili ndio tuhuma zako ziwe na mantiki. Na kingine, nani aliwadanganya kwamba kupiga piga simu ovyo na meseji ndio zitazuia mwanaume kuchepuka. Mtie akili jamani.
Aaaah! Majirani zetu ndo mlivyo basi sawa Sie hatuna tabu.
 
Alilazimika kuwa na brother to brother talk baada ya sisi kumskia anavyojitetea kila akipokea simu ya mkewe, ikatulazimu kumhoji kulikoni jameni. Maana kila akipokea, tunamskia anavyojibu maneno kama 'jameni mke wangu mbona unakua hivyo, nimeshinda ndani na sijatoka, mbona huniamini' Simu zake zimekua ni mbona hiki...... mbona kile.... Mke hataki kuwa muelewa.

Kwa kweli nimeomba jamaa aniachie niongee na mkewe, nimpigie simu na kumshauri, maana inauma nikiona jamaa anavyohangaika kumuelewesha mke asiyemskliza wakati kwa kweli jamaa hatoki. Tunamwacha na kufanya yetu mjini, tukirudi tunamkuta yupo busy na vitabu, magazeti basi.
Aisaee MK, wewe huwajui ma "ke" wa kiBongo !! ni vurugu mechi 24/7 :p:p:p
 
Back
Top Bottom