cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 120,127
- 196,874
😂😂😂Kaa chonjo, pisi kali ni chache humu.
😂😂😂Kaa chonjo, pisi kali ni chache humu.
Nashangaa.Tulikubaliana wote humu wanaume.. sasa pisi kali zipi tena mnaulizia?
hakika sote humu ni ndume za mbegu!Nashangaa.
Haya, mimi nimempa tahadhari tu.Acha kumtisha. Pisi kali tupo wa kutosha kila mmoja atapata wa kwake.