Kazi ya tume ya mfukoni mwa ntu⛹️Wabunge wote waliotajwa hapa, ushindi wao ulitiliwa mashaka; hivi hata wao hawakuona AIBU cause hata wao wanajua kwamba hawakushinda though walitangazwa

Kwa tume ya mfukoni mwa ntu, akina mafweza wataachaje shindishwa tena😄Na 2025 watashinda Tena kwa kishindo
Wabunge wa mchongo wa mwendazakeHali ni tete kwa wabunge wa CCM wanaoenda majimboni kwao, kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wao. Katika hali ya kushangaza wabunge wa CCM waliopata kura za kihistoria kwa kupata ushindi mkubwa, wanakosa kabisa ata kukusanya watu 50
Wiki iliyopita Prof Mkenda alienda Rombo kufanya mkutano, alikosa watu kabisa,ikabidi mkutano aachane nao.
Jana Mbunge wa Nyamagana Mabula amepata aibu ,ya karne kwa kukosa watu kwenye mkutano wake, yaani pamoja na ukubwa wa Nyamagana bado Mabula alikosa ata watu 50 wa kumsikiliza, imebidi ahairishe mkutano.
Jana Prof Kitila mkumbo alipata aibu ya mwaka, pale alipokosa watu kwenye mkutano wake wa hadhara, yaani pamoja na jimbo la ubungo kuwa na watu wengi, Mkumbo amekosa ata watu 50 wa kuwahutubia.
Tatizo liko wapi kwa baadhi ya wabunge wa CCM kukosa kabisa uungwaji mkono kutoka kwa Raia, wakati walichaguliwa kwa kura nyingi sanaView attachment 2135981
View attachment 2136014
kwa tume ya ccm. Uchaguzi wa ccm🤣🤣🤣Kwa tume ya mfukoni mwa ntu, akina mafweza wataachaje shindishwa tena😄
A wordMatokeo halisi ya chafuzi zilizosimamiwa na wanakijani 2019/2020 .Kuubadili mchezo na hali hiyo ngumu, waruhusu katiba mpya na hatimae time huru. Wataipata amani ya kweli na uungwaji mkono halisi.
Ni kawaida tu MkuuHali ni tete kwa wabunge wa CCM wanaoenda majimboni kwao, kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wao. Katika hali ya kushangaza wabunge wa CCM waliopata kura za kihistoria kwa kupata ushindi mkubwa, wanakosa kabisa ata kukusanya watu 50
Wiki iliyopita Prof Mkenda alienda Rombo kufanya mkutano, alikosa watu kabisa,ikabidi mkutano aachane nao.
Jana Mbunge wa Nyamagana Mabula amepata aibu ,ya karne kwa kukosa watu kwenye mkutano wake, yaani pamoja na ukubwa wa Nyamagana bado Mabula alikosa ata watu 50 wa kumsikiliza, imebidi ahairishe mkutano.
Jana Prof Kitila mkumbo alipata aibu ya mwaka, pale alipokosa watu kwenye mkutano wake wa hadhara, yaani pamoja na jimbo la ubungo kuwa na watu wengi, Mkumbo amekosa ata watu 50 wa kuwahutubia.
Tatizo liko wapi kwa baadhi ya wabunge wa CCM kukosa kabisa uungwaji mkono kutoka kwa Raia, wakati walichaguliwa kwa kura nyingi sanaView attachment 2135981
View attachment 2136014
Wananchi hawana matumaina na serikali yao kuwaletea maendeleo.Hali ni tete kwa wabunge wa CCM wanaoenda majimboni kwao, kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wao. Katika hali ya kushangaza wabunge wa CCM waliopata kura za kihistoria kwa kupata ushindi mkubwa, wanakosa kabisa ata kukusanya watu 50
Wiki iliyopita Prof Mkenda alienda Rombo kufanya mkutano, alikosa watu kabisa,ikabidi mkutano aachane nao.
Jana Mbunge wa Nyamagana Mabula amepata aibu ,ya karne kwa kukosa watu kwenye mkutano wake, yaani pamoja na ukubwa wa Nyamagana bado Mabula alikosa ata watu 50 wa kumsikiliza, imebidi ahairishe mkutano.
Jana Prof Kitila mkumbo alipata aibu ya mwaka, pale alipokosa watu kwenye mkutano wake wa hadhara, yaani pamoja na jimbo la ubungo kuwa na watu wengi, Mkumbo amekosa ata watu 50 wa kuwahutubia.
Tatizo liko wapi kwa baadhi ya wabunge wa CCM kukosa kabisa uungwaji mkono kutoka kwa Raia, wakati walichaguliwa kwa kura nyingi sanaView attachment 2135981
View attachment 2136014
Ata America watu wanajazana kuwasikiliza wabunge waoMpaka muda huu teknologia ilivyokuwa bado Kuna mbunge anafikiria kukusanya watu waache shughuli zao kwenda kumpigia makofi? Wabunge waombe vipindi kwenye tv waonyeshe kazi zao na Kila Jimbo kuwe na screen kubwa kama za matangazo Ili wabunge wawe wanapositi kazi zao hapo kwenye screen tuwe tunaangalia wenyewe tunawapima kazi zao kwa muda wetu.