Ha! Ha! Ha! Baada ya kuwabana wamechakachuwa hii thread wamebadili heading..
Nimefuatilia kipindi cha magazeti asubuhi, redio free africa, habar za hizo vurugu hawajasoma kabisa wanaziruka, kana kwamba hakuna hata gazeti moja lilo andika. Nawapa pongezi wapo redio wao wamejitahidi kuzipa air time za kutosha. Chan. ten, itv, na nyinginezo na nyie mmekuwa tbc cku hiz. Au ndio mambo ya kujikweza kwa serikali? Na ki2 kingine ambacho siwaelewi hiz tvs, mara kikwete wana mwita Dr. Kikwete, Sikunyingine hawamwiti hivyo.
Nimefuatilia vyombo vingi vya habar jana TVs, redio na magazeti mengi habar ya vurugu ya mbeya na udsm vimepewa coverage ndogo na mengine hakuna hata hiyo habar. Tatizo ni nin? Au serikali imewaomba wafanye hivyo kuzuia kuenea sehemu nyingine au sheria ya habar inawataka hivyo! Wanahabar mtuhabarishe, nin kimetokea kwenye media zenu?
vita ya mbeya imeanza tena ...sasa hivi ni mabou na magari ya matangazo yanapita kuwasihi wananchi kuacha vurugu na wakae kwenye meza ya mazungumzo...hali ni mabaya sana sasa hivi ....huu mgogoro utaacha historia ....polisi wa iringa ndo wako walikuja jana usiku kuongeza nguvu..vijana wake kwa waume wamejipanga tena upya na vurugu zimeanza,,,
wanajaamii tujulisheni kinachoendelea mbeya
Nimefuatilia vyombo vingi vya habar jana TVs, redio na magazeti mengi habar ya vurugu ya mbeya na udsm vimepewa coverage ndogo na mengine hakuna hata hiyo habar. Tatizo ni nin? Au serikali imewaomba wafanye hivyo kuzuia kuenea sehemu nyingine au sheria ya habar inawataka hivyo! Wanahabar mtuhabarishe, nin kimetokea kwenye media zenu?
absolutelyCCM imewaziba mdomo
Hata kama ni vurugu lazima wananchi wapewe taarifa kuepusha maafa zaidi maana kuna wengine wanaelekea huko ktk safari zao za kawaida. Je huoni kuwa ni bora kuwapasha habari ili wachukue taadhari? Mbona milipuko ya mabomu ilipewa coverage ya kutosha?Kwanini habari za vurugu zipewe "coverage" kubwa? inasaidia nini?