Mbona umekuwa adimu!!!

Mbona umekuwa adimu!!!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
thinking-african-american-woman-240x340.jpg


Umekuwa adimu kwa yangu mazoea..
Umekuwa mgumu hata kunisalimia
Umekuwa huna hamu, mimi nawe kuongea.
Utanipandisha wazimu, kimya kikiendelea
Unanipa majukumu nisiyoyatarajia
Hata Meseji jamani washindwa kunitumia?????
Au umedhamiria roho yangu kuitoa???

Nakusalimu huko uliko La Azizi wangu ...............
 
Nimekusikia. naja kukufyta machozi. hali ya maisha ndo chanzo cha kuwa adimu
 
Hizi nywele zake bhana mie ndio sizipendi ati, nywele za Kichwani lakini....
 
Nafuatilia hiyo rangi ya chungwa zaidi kuliko hata anachosema huyo mtoto!

Haki ya nani kuna watu wanafaudu jamani........... lol
 
kaachwa mtu kimya kimya.

Naam wangu muhibu..
Mja mwenye roho ya kutu..
Ghafla kawa bubu..
Mtima tele maumivu..

Zinduna wake nyonda...
Kaachiwa kiroho dunda...
Shengesha yamsumbua...
Presha yampanda yashuka..

Mie dakitari, tabibu wa penzi...
Aje kwangu Kaizari...
Nimponye yake maradhi...
Na yangu dawa asali...
 
Naam wangu muhibu..
Mja mwenye roho ya kutu..
Ghafla kawa bubu..
Mtima tele maumivu..

Zinduna wake nyonda...
Kaachiwa kiroho dunda...
Shengesha yamsumbua...
Presha yampanda yashuka..

Mie dakitari, tabibu wa penzi...
Aje kwangu Kaizari...
Nimponye yake maradhi...
Na yangu dawa asali...

kweli dunia duara
mapenzi si masihara
mtu kuwa taahira
mbele ya hadhira

mabazazi kujifanya maimam
kumrubuni mtu timam
ili tu kukidhi hamu
haya mapenzi mim sina hamu ...
 
Naam wangu muhibu..
Mja mwenye roho ya kutu..
Ghafla kawa bubu..
Mtima tele maumivu..

Zinduna wake nyonda...
Kaachiwa kiroho dunda...
Shengesha yamsumbua...
Presha yampanda yashuka..

Mie dakitari, tabibu wa penzi...
Aje kwangu Kaizari...
Nimponye yake maradhi...
Na yangu dawa asali...

mmh!.................
kumbe malenga wapo mwengi humu????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom