Mbona sijielewi jamani?

kuna mwenzio mmoja alikuwa ananiambia hivo hivo, eti hawezi kukaa na mwanaume miezi mitatu anakuwa amemchoka kabisa. Nilichofanya nikampiga mimba. Kamuulize saa hizi kama amenichoka!!! Mwaka wa pili sasa, amening'ang'ania kama kupe mpaka najuta kumpa mimba. Ngoja atokee mjanja akuwekee hamira tumboni utataka ukae nae maisha yote.
 

hivi mpaka siku izi kuna uchumba wakupeleka barua? au unaishi sana kijijini?
 

Kuwa muumini.mzuri wa dini yako sio guarantee ya kutoingiwa na mapepo...

Utakuwa na pepo la mahaba ambalo linakusababisha usiolewe, muone kiongozi wako wa dini mpe undani wa tatizo lako na atakufungua!

Ukicheza hutokaa uolewe....
 
Kila dini ina Mungu wake,hivyo mchunguze mungu wa dini yako kwa jicho la tatu,by the way hiyo sio hali ya kawaida hata kidogo kipimo rahisi fuatilia mada za wakaka wanavyowalalamikia wadada kwa kuwapressurize juu ya ndoa ndani ya kipindi kifupi utapata picha kwamba hio sio hali ya kawaida,tatizo lako ni la kiroho na utatuzi wake hauna budi kuwa wakiroho pia,na hii ndiyo sababu Damu ya YESU KRISTO ilimwagika pale msalabani, hakusita kulijitoa hata mauti yake kwa ajili ya uzima wa nafsi zetu akijua kwamba bila hivyo wanadamu ni "halali ya shetani"
 
utoto ukikua utaacha ngoja ufikishe miaka 45ndo utaona umuhmu wa ndoa tulza akili wewe na kama hujui mchagua naz hupata koroma na kuchamba kwing ni kushka nya
 


asante sana kwa ushaur mzuri. Leo nimeanza kuudhuria ibada za maombezi kwa mtumishi wa mungu tetemeko
 
Kuwa muumini.mzuri wa dini yako sio guarantee ya kutoingiwa na mapepo...

Utakuwa na pepo la mahaba ambalo linakusababisha usiolewe, muone kiongozi wako wa dini mpe undani wa tatizo lako na atakufungua!

Ukicheza hutokaa uolewe....


asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…