Mbona Samia hajawapa waislam hiyo mahakama ya kadhi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Leo wameibuka mashehe ubwabwa na kuleta hoja za ovyo ati TEC ni wabaguzi walifanya wakanyimwa mahakama ya kadhi

Kikwete, Mwinyi wote walikuwa waislam ila upumbavu wa Mahakama ya kadhi waliukataa

Sasa sisi waislam wenye akili tunahoji mbona huyo kipenzi chao Samia yupo madarakani mwaka wa 11 Bado hajatoa mahakama ya kadhi

Hivi kweli jitu unalilia mahakama ya kadhi kwenye nchi ambayo sio Islamic state

Sasa mahakama zetu zitakuwa na nguvu Gani Kili dini ikiibuka na mahakama yake

TEC wamepinga utekaji, mauaji na kuhujumu wa uchaguzi halafu anaibuka MLA tende eti anataka mahakama ya kadhi
 
"Sisi hatuna hela, Ila wao wakatoliki si ndio wana mashule, vyuo vyote wamejenga wao,mahospitali......." Hapa nikaona huyu kumah anaongozwa na wivu wa kijinga😂😂😂
 
Leo wameibuka mashehe ubwabwa na kuleta hoja za ovyo ati TEC ni wabaguzi walifanya wakanyimwa mahakama ya kadhi

Kikwete, Mwinyi wote walikuwa waislam ila upumbavu wa Mahakama ya kadhi waliukataa

Sasa sisi waislam wenye akili tunahoji mbona huyo kipenzi chao Samia yupo madarakani mwaka wa 11 Bado hajatoa mahakama ya kadhi

Hivi kweli jitu unalilia mahakama ya kadhi kwenye nchi ambayo sio Islamic state

Sasa mahakama zetu zitakuwa na nguvu Gani Kili dini ikiibuka na mahakama yake

TEC wamepinga utekaji, mauaji na kuhujumu wa uchaguzi halafu anaibuka MLA tende eti anataka mahakama ya kadhi
TEC wanajua kulenga wamepiga palepale
 
Back
Top Bottom