🤣 🤣 🤣 🤣 😂 😂 😂 😂 😂Uso sawa ila uguu hamna kitu tupa kule.
umepagawa na maziwa😎😎😂![]()
She looks good. Yule mdada wa Los Angeles, aliyemkashifu Mbuta Nanga kwa kumuitA ZINJATHROPUS hakuwa fair. Flora , you look good bana, dont let no one tell u otherwise....
![]()
![]()
siku hizi ameacha kutoa show?
Kumbe wewe ni wa kitambo sana humuni mzuri sema anajitoaga ufahamu tu
Samahani mkuu..
Umemaanisha nini kweny hayo maneno niliyo-bold?
Sis vijana wa juzi..nifanyie kaz sasa!Nenda Google utafute hilo jina, utaona show zake.
Unaeza elezea unavyoijua status yake..
Umekumbuka vip mbali?