Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
umetaja chache Heaven on Earth, pole kwa kuugua!
wale wote wa:
Uyole, RRM (nanenane), Sae, Mama J, Ilomba, Kabwe, Isanga,
Makunguru, Sangu, Airport, Magorofani, Kadege, Forest, Meta, Nzovwe,
Itende, Kalobe, Nonde, Ilemi, Ruanda, Sinde, Makongorosi, Vywawa, Tunduma,
Igawilo, Lujewa, Kiwira, KKK, Tukuyu, Ushirika, Kasumulu, Ikuti, Itumba, Sange, Kibwe........
CC: Lady doctor
Heaven on Earth kataja chache hivyo wakati Mbeya ni kubwa aisee...... Halafu kabla sijaja Arusha nilipita tena kwenu aisee nikaenda hadi kwenye ile milima miwili kwenye vyanzo vya maji ila nilishindwa kupanda mwenzio...
Ungenambia mapema ningekufikisha mpaka kileleni kabisa. Ungefurahia kwa hakika.
yeah, ningefurahi Nicas maana mwenyewe nisingeweza
Naomba basi ukienda tena let me know ili nkakufikishe kileleni uone zile chem chem vizuri.
Okay, nitakujulisha ili unifikishe kileleni
umetaja chache Heaven on Earth, pole kwa kuugua!
wale wote wa:
Uyole, RRM (nanenane), Sae, Mama J, Ilomba, Kabwe, Isanga,
Makunguru, Sangu, Airport, Magorofani, Kadege, Forest, Meta, Nzovwe,
Itende, Kalobe, Nonde, Ilemi, Ruanda, Sinde, Makongorosi, Vywawa, Tunduma,
Igawilo, Lujewa, Kiwira, KKK, Tukuyu, Ushirika, Kasumulu, Ikuti, Itumba, Sange, Kibwe........
CC: Lady doctor
Ehee sema basi tukutane wapi na lini?igawilo hapa!green city standup
Mkutano lini wadau wa Mbeya? Mie mwenyewe nipo ndani ya Jiji la Kijani.
Mitaa ya Igawilo mkuu?
Nipo Soweto mkuu.
Hivi wana Mbeya mmegoma kuanzisha wing?