Mbona Manyika jana hakuwepo Surrender bridge

Akafanye nini sasa hilo daraja halipo kwenye jimbo lake. Halafu ni Salendar bridge surrender sijui umeipata wapi
 
Mzee leo umechafukwa sana.
Hapana sometime hawa chekechea toka vyuo vya chekechea unawapa darasa kidogo! Unaona kabisa huyu mtu ni rubbish when it comes to simple science of human anatomy! tumesoma form 4, organ system, at least at a basic compulsory level ... huyu alitoka kapa!
 
Wadau juzi nilimsikia J.mnyika na cdm wenzake waki mbeza mkulu mara sijui demografia cjui fidia na pongezi za kumuunga mkono,alivyo maliza akaropoka sijui Mbowe atoke mahabusu,saaasa mbona jana sikumuona??Kwanini asingeenda tena kwenye tukio la jana,ana akili kama yule jamaa wa zobher house.
Pole
 
Nadhani hizi ni miongoni mwa zile ID mpya alizozizungumzia ndugu yangu Mshana Jr siku chache zilizopita, zilianzishwa kwaajili ya ule upepo wa Membe.
 
Na kweli huyu ni mgeni humu ( by ID reference)
Sikuhizi ukiona nyuzi nyingi sana zinaoisifia serikali zinaletwa na ID mpya... Yaani kwa utafiti wangu karibu 75% zinakua ni ID mpya, hawa wamepewa kazi maalumu, kulitakatisha jiwe tu so binafsi kabla sijasema lolote huwa naangalia kwanza huyu mleta uzi anaumri gani humu.
 
Yeah zile reserved IDs haya ni masalia yake ama ni za bwana huyu
Na sasa hivi zimemwagwa nyingi sana kiasi kwamba naunganisha dot na yale matangazo ya kule insta wanaosema "je unataka kuongeza kipato nje ya mshahara wako kwa kutumia simu yenye internet au computer?"
 
Sikuhizi ukiona nyuzi nyingi sana zinaoisifia serikali zinaletwa na ID mpya... Yaani kwa utafiti wangu karibu 75% zinakua ni ID mpya, hawa wamepewa kazi maalumu, kulitakatisha jiwe tu so binafsi kabla sijasema lolote huwa naangalia kwanza huyu mleta uzi anaumri gani humu.
Exactly, nami hilo nimeliona. Lakini contents za post/thread zao unaona kabisa kuwa zinashabihiana na ID fulani fulani za zamani. Ni hao hao wanajibadilisha na kukaa kama kamati maalum ya special task kama ya Membe!
 
Naam.. Yaani hii ni project kabisa, unadhani kina Lizaboni na faiza foxy wameibuka bure tu? Kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia na tutajua tu maana dunia haina siri.
 
Mtu anamaliza chuo kikuu hajui hata kutunga sentensi moja ya kimombo halafu anajiita msomi
 
Wadau juzi nilimsikia J.mnyika na cdm wenzake waki mbeza mkulu mara sijui demografia cjui fidia na pongezi za kumuunga mkono,alivyo maliza akaropoka sijui Mbowe atoke mahabusu,saaasa mbona jana sikumuona??Kwanini asingeenda tena kwenye tukio la jana,ana akili kama yule jamaa wa zobher house.

Ana akili kama mama yako
 
Mtu anamaliza chuo kikuu hajui hata kutunga sentensi moja ya kimombo halafu anajiita msomi
afadhali umeliona. nimewafanyisha wengi interview, majanga matupu! Hizi university uchwara ni hatari kwa taifa!
 
Wengne hata barua ya kuomba kazi wanaomba msaada wa kuandikiwa. Nmewashuhudia wengi tu. Yaani ni majanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom