Mbona makanda wa UvCCM wazee watupu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona makanda wa UvCCM wazee watupu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by major mkandala, Mar 9, 2010.

 1. m

  major mkandala Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani sijui dhambi kuuliza

  nilpoanza jua uvccm nilijua ya vijana
  sasa inansumbua kuona majuzi
  mizee na mimama imejazana kwenye mkutano
  wa makanda wa uvccm
  nkajiuliza hii ni uvccm ama ndio watu kumeegana ulaji
  mbona nyie wamama vijana awaji kwenu uko

  majuzi nimeona idd azan anampa ukamanda mama mmoja wa kindoni sikukose a jina anaitwa shimwana sherally nkajiuliza hyu ni kijana gafla mkutano wa majuzi nkajua aah kumbe makamanda ni wazee tupu.....
  Amchoki na nyie
   
 2. d

  damn JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  vijana hawahitajiki ccm wewe ulikwenda kufanya nini?
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Mtizamo wa ccm vijana ni taifa la kesho. Hata hivyo usisahau kwamba 'tomorro shall never come'
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Kwa CCM njia ya kwenda bungeni huazia kwenye ukamanda lakini mimi nawashangaa hawa UVCCM ina maana wao hawako tayari au hawana nia ya kugombea ubunge mpaka umri usogee maana nguvu wanazotumia kuwakweza hawa makamanda wazee wangezitumia miongoni mwao nafikiri bunge letu lingekuwa ni wabunge vijana wengi lakini labda imani ya vijana ni taifa la kesho imewapumbaza kufikiria zaidi kwamba wanaweza kupelekana bungeni.
   
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  CCM kuna jumuiya ya wazazi na vijana tu, so kama unajiona haufiti kwa wazazi unakimbilia kwa vijana bila kujalisha una umri gani.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  CCM is simply illogical, sasa kaa unategemea kutafuta vitu ktk uhalisia wake huko CCM umepotea njia mkulu.
   
 7. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #7
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hata mimi huwa wananishangaza.Eti kamanda wa vijana jitu kubwa libaba la makamu..Kwani vijana wenyewe hawawezi kuwa makamanda?Ila msiwashangae sana mmesahau hata JK wakati anagombea alisema yeye ni kijana?mmesahau hata Nchimbi aliendelea kuwa Mwenyekiti wa UVCCM akiwa ameshapita ujana kikatiba?mmesahau hata kina Masha na David Mathayo wanajiita wabunge vijana?kwa CCM hata ukiwa una miaka 60 wewe ni kijana,teh teh teh!
   
Loading...