Mbona kama watu hawanioni/sionekani

Mbona kama watu hawanioni/sionekani

Hiyo mbinu nzuri wanaitumia sana wazee wa hovyo..!! Akiona kamtamani binti anamuamkia ili binti ashangae au acheke ndio anapoanza mtongozo..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa yeye si anataka kupewa attention atumie hiyo ili ajibiwe hata kwa kicheko..!!
Shikamoo imeshuka thamani sana.
 
Watu wana stress na depression mjini hapa, honi za magari na pikipiki hawasikii, ndo iwe hiyo salamu yako??
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
duh sema mjini makauzu wengi unaweza panda gari mtu akakukuta kwenye seat ata salamu anasubiri we ndo umsalimie aliyekukuta ,na anajifanya anachezea simu muda wote dr. Kweka wa muhimbili anadai sahivi socialization imepungua sana tofauti na zamani kwa sababu ya tech
 
Kwanini unasalimia watu njiani? Wakikujibu salam zako unafaidika na nini?
unapitaje njiani kimyakimya mzee we GenZ nini?kuna shida na matatizo njiani ukipotea njia au kudondoka ghafra unafikiri ndugu zako ndo watakusaidia,
 
unapitaje njiani kimyakimya mzee we GenZ nini?kuna shida na matatizo njiani ukipotea njia au kudondoka ghafra unafikiri ndugu zako ndo watakusaidia,
Miji mikubwa haina social life kijana,

Utasalimia kila mtu njiani? Mjini ukianguka wanakusachi sio kukusaidia,

Unapoenda sehemu jaribu ku adopt tabia ulizozikuta,ama sivyo utaonekana wewe ni kero kwa watu.
 
duh sema mjini makauzu wengi unaweza panda gari mtu akakukuta kwenye seat ata salamu anasubiri we ndo umsalimie aliyekukuta ,na anajifanya anachezea simu muda wote dr. Kweka wa muhimbili anadai sahivi socialization imepungua sana tofauti na zamani kwa sababu ya tech
Kwa kweli.
 
Wajuzi wa mambo vipi, Kwema?
Hivi inakuwaje kila siku unatembea na kila ukikutana na mtu ukimsalimia haitikii wala kukujibu ni kama hakuoni shida ni nini? Hakuna shida hapo kweli?
Huneda wewe mi mpole na sio mwongeaji sana, hiyo sababu hii husababisha kuwa wewe ni mtu mwenye kuongea kwa sauti ndogo ambayo humfanya mtu kama haja pay attention kwako sio rahisi kukusikia unavyoongea..
 
Pole sana mkuu, loneliness is a jailer, it kills your soul slowly. Jitafte Anza kuwa happy inside kwanza
 
Bila shaka umetembelea daslam.
Hawaitikiag salam sijui maisha yamewavuruga.
Na tena mtu mzma ukimsalimia shikamoo atakuangalia tu utazan hakusikii,
Pale hata mzee haswa uswahilin salimia kishikaji
 
Back
Top Bottom