Watu wanatembea na mambo mengi kichwani. Mtu anaweza kuwa sehemu kimwili ila kimawazo yuko sehemu nyingine kabisa. Yawezekana hata wewe hujaitikia salam za watu huko barabarani😁😁😁😁Maisha haya ni magumu hadi yanatufanya tuongee peke yetu huko barabaraniWajuzi wa mambo vipi, Kwema?
Hivi inakuwaje kila siku unatembea na kila ukikutana na mtu ukimsalimia haitikii wala kukujibu ni kama hakuoni shida ni nini? Hakuna shida hapo kweli?
Dar Kukutana watu wanaongea peke yao ni kawaida na siyo kwamba chizi muokota makopo. Yuko mjini kazini kabisa ila anaongea peke yake😅😅😅😅mimi mwenyewe naongeaga peke yanguKama unaishi sehemu kama Dar achana na salamu za hovyo hovyo, unasalimia for a reason, kwanza utasalimia wangapi, kwamba ukifika kariakoo upo busy "mambo vipi wakuu"?
Utawatengenezea taharuki wananchi wadogo wadogo.Acha kutumia mambo vipi. Anza kuwaambia Shikamoo. Iwe mkubwa au mdogo au wa kati lazima akujibu..!!
Hela huna kaka,ngoja hela ikutembelee....hao watu unaotaka wakuone mbona wewe ndo utawakimbia!
Gari yako utapiga tinted muda wote na utajificha ndani kila siku,geti litagongwa sana na simu itaita mpaka utatamani kuizima.
Wewe si unataka kuonekana na watu?
Hii ya mtu kuongea pekeake hii kila mtu anafanya,tunatofautiana kwenye kurusha mikono tu,wengine wanarusha unawaona na wengine wanarusha internally...Na ukiona wewe huongei pekeako ujue wewe tayar ni maiti inayotembeaDar Kukutana watu wanaongea peke yao ni kawaida na siyo kwamba chizi muokota makopo. Yuko mjini kazini kabisa ila anaongea peke yake😅😅😅😅mimi mwenyewe naongeaga peke yangu
Mkuu hii ni kweli, wanaogundulika ni wale wanarusha mikono kabisa au wale ambao mkuu hapo mleta mada kawazungumzia kwamba hata ukiwasemesha basi hawatakujibu au watachelewa kukujibu wakionesha walikuwa mbali sana kimawazo.Hii ya mtu kuongea pekeake hii kila mtu anafanya,tunatofautiana kwenye kurusha mikono tu,wengine wanarusha unawaona na wengine wanarusha internally...Na ukiona wewe huongei pekeako ujue wewe tayar ni maiti inayotembea
Kuna kipindi kichwa kilikua na mambo mengi , nikawa nikipita nasalimia mpaka watoto wa chekechea (shkamoo)Utawatengenezea taharuki wananchi wadogo wadogo.
Ujue wale wengine hawajazoea kupewa shikamoo, siku wakiona mtu mzima anawapa shikamoo wanaweza kupata kigugumizi kujibu 😂😂
Swali lake kaliweka kimtego , kama anataka kuambiwa nyota yake imechukuliwa na wachawi au kivuli chake🤔We ulitaka ushauliwe nini mana maelezo yako yamekaa kama tukushaul uende kwa mganga! Haya nenda
ShkaUnasalimia kwa sauti au unatoa salamu mashavuni?
Hahahahahaha hata mie siitiki salam ya hivyoShka
Mimi huo naitika maaa.....Hahahahahaha hata mie siitiki salam ya hivyo
Hiyo mbinu nzuri wanaitumia sana wazee wa hovyo..!! Akiona kamtamani binti anamuamkia ili binti ashangae au acheke ndio anapoanza mtongozo..!! 😹😹Utawatengenezea taharuki wananchi wadogo wadogo.
Ujue wale wengine hawajazoea kupewa shikamoo, siku wakiona mtu mzima anawapa shikamoo wanaweza kupata kigugumizi kujibu 😂😂