Mmejua Leo sumaye anakwenda UKAWA??? Hqmukufanya nae mazungumzo kwa kina? Kama kwa lowassa?
Mpaka october utakuwa umegombana na familia yako yote maana wote wanahama utabak wewe tu
Sijui ni Mimi tu? Naona kama UKAWA inakosa mvuto kadari oktoba inavyo karibia?
Tupeane sababu?
Mwambie huyo kenge.Mpaka october utakuwa umegombana na familia yako yote maana wote wanahama utabak wewe tu
Sijui ni Mimi tu? Naona kama UKAWA inakosa mvuto kadari oktoba inavyo karibia?
Tupeane sababu?
Unadhani Sumaye angekuja
Sijui ni Mimi tu? Naona kama UKAWA inakosa mvuto kadari oktoba inavyo karibia?
Tupeane sababu?
Ashasema ccm hakuwa na cheo chochote ndo akaja kutafta cheo, used oil, dirty oil hivo yan
Ashasema ccm hakuwa na cheo chochote ndo akaja kutafta cheo, used oil, dirty oil hivo yan
Kitendo cha wewe kuiandika hapa ni dalili tosha kuwa mvuto wao upo juu