Mbona kama UKAWA imekosa mvuto ghafla?

Mbona kama UKAWA imekosa mvuto ghafla?

ingekua inakosa mvuto ungepost news zake apa?vumilia tu ndg yangu ni zamu ye2 sasa
 
unajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Labda wameishiwa note mkuu, ukawa ya kanisa kumbe ndo maana walisema wanasafisha mafisadi kupitia KKKT
 
Ww ndio unakosa mvuto uoni hata aibu kuyasema hayo? Jipe moyo maana maccm mnapumulia mashine
 
Sijui ni Mimi tu? Naona kama UKAWA inakosa mvuto kadari oktoba inavyo karibia?



Tupeane sababu?
hakuna jipya. watu wanakimbilia kuona tu halafu wanakitoa. hadi uchaguzi hakuna abiria watakua wamebakia. wamekosea kuanza shoo mapema hadi 25 october watabakia kapa.
 
Nakata kama Kikwete atathubutu kusafiri nje ya nchi muda huu uliobaki kabla ya uchaguzi!
 
Sijui ni Mimi tu? Naona kama UKAWA inakosa mvuto kadari oktoba inavyo karibia?



Tupeane sababu?

Haswaaaaaa....!!!!😀😀😀😀😀
 
Kama ingekua haina mvuto usingekua bz kuifuatilia hata mkulu wa kaya asingekua bz kupiga vijembe .
 
Back
Top Bottom