Mbona kama UKAWA imekosa mvuto ghafla?

Mbona kama UKAWA imekosa mvuto ghafla?

Kesho kasome magazeti na habari kuu utajua nani kapoteza mvuto utaweweseka sana mwaka huu
 
Sijui ni Mimi tu? Naona kama UKAWA inakosa mvuto kadari oktoba inavyo karibia?



Tupeane sababu?

UKAWA ingekuwa haina mvuto usingeiandika mkuu. Hizi ni pumba tu km pumba nyingine. Km UKAWA haina mvuto unaandika habari zake za nini? Mbona hujaandika kuhusu UPDP ya Fahmu Dovutwa?
 
Bora hata wewe umeizungumzia maana leo ndio naisikia kwako kwa mara ya kwanza
 
Sijui ni Mimi tu? Naona kama UKAWA inakosa mvuto kadari oktoba inavyo karibia?



Tupeane sababu?

Usidanganyike imekosa mvuto hata kama wanaohamia kwa kasi ni wazee waliokosa kura au kukatwa kwenye chaguzi za ccm
 
Ukawa inazoa zoa tu halafu kikubwa inazoa ukabila,Chadema wamekiunda vizuri na taratibu ila ulafi sasa mm pole.
 
Sijui ni Mimi tu? Naona kama UKAWA inakosa mvuto kadari oktoba inavyo karibia?

Tupeane sababu?
Unaiandika halafu unasema inakosa mvuto? Ingekuwa hivo usingeiandika. Mbona hukuiandika CCM?
 
Wanasubiri mwali (CCM) amalize kupaka wanja wewe vipi umemaliza kupaka wanja toka basi watu waselebuke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom