Mbona kama UKAWA imekosa mvuto ghafla?

Mbona kama UKAWA imekosa mvuto ghafla?

kabisa wanapoteza mwelekeo kwanza kinapokea watu waliokataliwa alafu wao wanawafanya wagmbea wasafi
 
Sijui ni Mimi tu? Naona kama UKAWA inakosa mvuto kadari oktoba inavyo karibia?



Tupeane sababu?

Mkuu tulia, kumbuka dodoma siku ile na dsm siku ile.. Watu washatulia, ukawa kampeni kama tusha maliza, tunafanya review tuu, watz wote wako mguu sawa kwa ukawa..
 
Kivipi dadavua

Mkutano wa Leo pale bahari beach umekosa mvuto kbsa? Ukumbini ulipwaya? Wale vijana wa bavicha hawkuwepo?

Kama kwenye ule mkutano wq lowassa?

Au ni ile kunyimwa nafasi uwanja wa taifa ndio sababu kubwa? Ya kudorora kwao?
 
Acha kuleta hisia za mapenzi kwenye siasa mambo muhmu ikose mvuto imekua demu wako" umepanic UKAWA inazidi kupaa
 
Wanaosema mkutano ulipwaya jueni kuwa ile ilikuwa emergency meeting haikuwa kama ya Lowasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom