Mbona kama rasta za Mr. Cheeks ni chafu?

Jamaa kasema huyo ni kama mamba24 wa USA... Au kama wale tu waliotoka SA juzi.
 
Rasta kiasili ni chafu tu, nywele zinavyozidi kurefuka zinakufa. Achana na hile wanazosuka mabisho kwenye saluni kama alizokuwa nazo master J za kufunga na kufungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…