Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,468
- 283,856
Mwenyekiti wa CCM ndugu Samia, Amenukuliwa akimweleza Jaji Mkuu kwamba Jaji yeyote akitiliwa shaka kwenye utendaji wake basi achunguzwe
Swali letu ni Hili, mbona Jaji Hamidu Mwanga aliyeonekana wazi kwamba analipwa ili aiumize Chadema hakuchunguzwa? Watanzania siyo Wajinga kiasi hicho.
Ujumbe: Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Swali letu ni Hili, mbona Jaji Hamidu Mwanga aliyeonekana wazi kwamba analipwa ili aiumize Chadema hakuchunguzwa? Watanzania siyo Wajinga kiasi hicho.
Ujumbe: Ukiwa muongo usiwe msahaulifu