Mbona hufungi kanisa au msikiti wako?

Mbona hufungi kanisa au msikiti wako?

Mpendwa nadhani tutumie nguvu zetu zote kukemea wanaozusha kuwa watu mamilioni wamekufa Tanzania. Hawaoneshi hata picha!! Hawoneshi picha Mahospitali yalivyojaa. Wizara inatuonesha picha si na wao wangeonesha picha kuwa Wizara ni waongo? Hatuoni hayo makaburi watu wanazikwa Kwa mamia.

Tumeanza maombi ya kuiombea nchi. Na moja ya maombi hayo ni wote wanaoichafua nchi kuinenea uongo Mungu aachilie HUKUMU kama alivyofanya Kwa wana wa Kora! Kizazi hicho kiovu Mungu apatilize wana na wana wao mpaka kizazi cha tatu cha WASIOAMINI!! Mungu sio dhalimu! Hakika atatufanyia HUKUMU Watanzania.

Tuendelee kumlingana Mungu huku tukishikamana ktk kifungo cha UPENDO NA AMANI, KTK DUA NA MAOMBEZI kaama alivyoagiza Rais wetu Magufuli.

Mungu ametumia kinywa cha Rais Magufuli kusema na watoto wake Tanzania. Hakika TUTAVUKA NA TUMEVUKA! Imekwisha hiyoooo!!
Kila mtu hapa duniani ana imani na kumuamini Mungu yawezekana kuliko hata wewe ambaye hiyo dini uliyoletewa.

Haya njoo kwa issue ya ugonjwa.
👇🏾
WAFALME 5:14
Ndipo akashuka, akajichovya mara saba katika Yordani, sawasawa na neno lake yule mtu wa Mungu; nayo nyama ya mwili wake ikarudi ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga, akawa safi.

Jambo lililoandikwa "akajichovya" ina maana alikuwa mgonjwa, ukisoma mafungu ya juu utaona mfalme alimsikia nabii ndipo akapewa ujumbe kuwa akajichovye na baadaye akapona "akawa safi"
 
[QUOTBunju kuna myserSoze, post: 38114726, member: 211709"]
Kama binadamu kuna ambao watabaki na wengine watakufa...., ni kweli kila mtu atakufa ila vifo vya kizembe ni uzembe....

Wewe wataalamu ambao ndio kazi yao usiku na mchana kuchunguza haya mambo wanakwambia social distance unless ni absolutely necessary wewe unakwenda kujirundika na watu alafu unasema utavuka ? (naam utavuka kwenda the other side... AKA Six Feet Under) hususan kama immunity yako ni haba....
[/QUOTE]
Huku bunju mwanamke inasemekana anazikwa saa Tisa pollution pollution
 
Back
Top Bottom