Mbona hufungi kanisa au msikiti wako?

Mbona hufungi kanisa au msikiti wako?

Were ones utumbo tu kwa sababu umekula utumbo, atakapokufa yule anayekuhusu hasa ndipo akili zitakukaa sawa.

Huu si wakati wa mzaha na uhai wa watu, jaribu kuwa mstaarabu walau kidogo.
Back to sender. Zaburi 35 na 109. Upanga uliouchomoa alani ukufyeke na ukoo wako mwenyewe! Amen
 
Hadithi ya kijinga kutoka kwa mtu mwenye akili ndogo.

Hapa watu wajadili mada siyo hadithi za kijinga kama hii uliyoileta.
Sasa post unayoiita ya mjinga umejibu kijinga kuliko ujinga uliouona kwa mwenye post uliyemuita mjinga!
 
Ya Kaisari mpe Kaisari, na yake Mungu mpe Mungu. Nafsi ya mtu hutegemea afya ya mwili ambayo ni suala la kibinadamu, na pia afya ya roho ambayo ni suala la kiungu lenye kujenga mahusiano mema na Mungu.
Kuna ma Askofu wanatuchanganya, wameacha Imani wameingia kwenye siasa tumeona tuwafate huko huko ili tuziokoe roho zao na watu wao.
 
Mkuu ndini ni chombo cha kucontrol minds za watu na hutumia hofu kama sila kubwa kuwatawala watu....ndio maana mara nyingi serikali hasa za afrika zmekuwa zktumia dini kufanisha mambo yake. Sasa mtu anabishana na wataalam na kupinga kwamba corona haiui kwasabb tu sheikhe wake au padre wake hajamtangazia na huku anaona watu wanakufa. Hapo fungu likipita kwa mashehe na mapadri mbona makanisa na misikiti inafungwa tatzo hawajaona bado kwahyo na wao wanawasisi wasi watakula wapi unaachiaje sadaka wkt fungu halijapita
Inategemea ni dini gani unayoizungumzia. Dini ninayoijua mimi imesaidia watu kuishi Kwa Amani na Utulivu. Wagonjwa wamepokea Uponyaji, Mungu amejibu maombi ya wahitaji, na Mungu anaendelea kujibu hata sasa! Kama Dini ulipo Mungu amenyamaza kimya hama haraka kimbilia kwa Mungu aliye HAI!
 
Hizo nchi zilizoendelea na ambazo wamefuata taratibu na kanuni za WHO mbona wanakufa kuliko hawa masikini ambao hata hela ya kununia barakoa hana?

Mungu hadhihakiwi! Mungu huyatumia na kujitukuza kwenye mambo madhaifu ili kuyaaaibisha yenye hekima.
Acha kuongea kama mtu uninformed...., hata huko wanakufa ni 5% (mortality rate ya corona) as well as sababu huwa hawafi sana percent kubwa ya wananchi wao kuna vulnerable people.... unawaona ni wengi sababu wanarekodi wewe ambaye hauna rekodi unajuaje wamekufa wangapi ?

Pili wanakufa wengi nchi zilizoendelea believe it or not kulingana na maisha yao na lishe they are not that healthy (for your information Americans and their Junk Foods ) they are one of the unhealthy nation...

Pia individual to individual developing countries rate ya vifo ni kubwa / nyingi kuliko developed countries kwa magonjwa mengine mengi na vifo vya uzembe...., now iweje Mungu haingilii kati kwenye hivyo vifo vingine ? Kama kweli ni kama unavyosema kwamba Mungu ni mtu wa visasi na kupendelea baadhi ya watu
 
Naamini wewe na baadhi ya watu wengine hampendi kuwapa wananchi hofu, you're collect kabisa ila sasa lazima tuchukue tahadhari pale inapobidi, hii biashara ya kuchukua hofu ya viongozi kutotoa matamko au kuzoa matamko ya kubebana haitakuwa na tija kwa jamii zaidi ya kuleta madhara in future.
Mpendwa nadhani tutumie nguvu zetu zote kukemea wanaozusha kuwa watu mamilioni wamekufa Tanzania. Hawaoneshi hata picha!! Hawoneshi picha Mahospitali yalivyojaa. Wizara inatuonesha picha si na wao wangeonesha picha kuwa Wizara ni waongo? Hatuoni hayo makaburi watu wanazikwa Kwa mamia.

Tumeanza maombi ya kuiombea nchi. Na moja ya maombi hayo ni wote wanaoichafua nchi kuinenea uongo Mungu aachilie HUKUMU kama alivyofanya Kwa wana wa Kora! Kizazi hicho kiovu Mungu apatilize wana na wana wao mpaka kizazi cha tatu cha WASIOAMINI!! Mungu sio dhalimu! Hakika atatufanyia HUKUMU Watanzania.

Tuendelee kumlingana Mungu huku tukishikamana ktk kifungo cha UPENDO NA AMANI, KTK DUA NA MAOMBEZI kaama alivyoagiza Rais wetu Magufuli.

Mungu ametumia kinywa cha Rais Magufuli kusema na watoto wake Tanzania. Hakika TUTAVUKA NA TUMEVUKA! Imekwisha hiyoooo!!
 
Acha kuongea kama mtu uninformed...., hata huko wanakufa ni 5% (mortality rate ya corona) as well as sababu huwa hawafi sana percent kubwa ya wananchi wao kuna vulnerable people.... unawaona ni wengi sababu wanarekodi wewe ambaye hauna rekodi unajuaje wamekufa wangapi ?

Pili wanakufa wengi nchi zilizoendelea believe it or not kulingana na maisha yao na lishe they are not that healthy (for your information Americans and their Junk Foods ) they are one of the unhealthy nation...

Pia individual to individual developing countries rate ya vifo ni kubwa / nyingi kuliko developed countries kwa magonjwa mengine mengi na vifo vya uzembe...., now iweje Mungu haingilii kati kwenye hivyo vifo vingine ? Kama kweli ni kama unavyosema kwamba Mungu ni mtu wa visasi na kupendelea baadhi ya watu
Kama Serikali hairekodi wewe mwenye ushahidi piga picha utupatie! Makaburi ya wapi yamezika watu mpaka yamejaa kwa hayo mavifo unayoyasema.

Tuache Watanzania tafadhali. Nakuonya Kwa kinywa kipana kama Mungu aishivyo. KAMA UNATAMAANI MISIBA BASI MALAIKA WASHUKE NA KUFYEKA UWAPENDAO ILI UJUE YUPO MUNGU NA HADHIHAKIWI!! Acha KUKUFURU MARA MOJA
 
Nina mashaka sana na uelewa wako sababu nadhani haufollow logic....

Nani amesema huku kuna vifo mpaka vimejaa na makaburi yamejaa ?, Nimekupa known facts kwamba Corona mortality rate yake ni 5%..., unavyosikia kule wanakufa kama kuku ni sababu kila kifo ni recorded..., huku huwezi ukasema vifo havipo / watu hawafi wakati hauna records (that is a fact) Malaria inaua zaidi ya Corona ila makaburi yamejaa mangapi ?

Nimekupa fact nyingine kutokana na huduma za nchi zilizoendelea kuna watu wengi ambao ni vulnerable ila huwa wapo (wangekuwa huku wangeshakufa) thus likija gonjwa kama hili linawaondoa sana hao...., Kwa nchi zenye shida kama ukizaliwa una complications unakufa ukiwa bado mdogo (survival of the fittest) ingawa huenda ungekuwa ulaya usingekufa...., kuna watu ulaya wapo alergic na karanga wakila karanga wanavimba hadi kupelekea kifo, just imagine watu kama hao wangezaliwa huku..., je wangemaliza hata mwaka ?
 
Mungu anajua na Mungu ambaye Watanzania tukiongozwa na Rais Magufuli tumemkimbilia atatuokoa na mitego yote. Samahani kama sikukuelewa!

Ukisoma Zaburi 91 yote utafahamu ukuu na uweza wa Mungu.

Hawa wanataja magari hawa wanataja farasi. Tanzania tunalitaja Jina la Mungu wetu!
 
Kwahio Mungu unayemuamini wewe ni wa Watanzania pekee..., wale wengine wanao wa kwao..., Sitaki kuamini kwamba unaamini kwamba unayemuamini ana upendeleo... au tabia ya kuonyeshana....
 
Inategemea ni dini gani unayoizungumzia. Dini ninayoijua mimi imesaidia watu kuishi Kwa Amani na Utulivu. Wagonjwa wamepokea Uponyaji, Mungu amejibu maombi ya wahitaji, na Mungu anaendelea kujibu hata sasa! Kama Dini ulipo Mungu amenyamaza kimya hama haraka kimbilia kwa Mungu aliye HAI!
Una jua maana ya kuwa hai?
 
Esther hiki sio kipindi cha ku chalenjiana na kubeza! Nakushauri acha kuingiza siasa. Hii kitu ni real na inaua.

Kama hadi sasa hujapoteza ndugu au rafiki au jirani, piga magoti mshukuru Mungu wako na acha kubeza chochote
Ndugu zako wangapi wamekufa na ukimwi, maleria, kisukali, kansa, na mengineyo,
Je unakazimishwa kutumia kondom au kutumia neti kujikinga na mbu, au kufanya mazoezi ili kuepuka kisukali?
Ni.ujinga kutaka serikari ilazimishe mtu kujikinga wakati afya ni ya kwako, nanu hajui kama corona ipo?
Chukueni hatua na mfanye kazi, na kma huna kazi jifungie ulale usiendelee kusambaza corona.
 
Kukujibu wewe ni kupoteza muda tu.

Siku njema mkuu.
 
Back
Top Bottom