Mbona hawa Askari wanatamba nchi nzima?

Wale wasiojulikana enzi za Magufuli walioua ndugu zetu na kuwafunga kwenye viroba Kisha kuwatupa baharin, misituni na wengine mpaka leo familia zao hawajui walipo mfano Ben Saanane, Azory Gwanda nk.
 
Hivi Kingai,Godluck,Mahita, D/C Msemwa, Afande Jumanne, Minja na Afande AZIZI,Hawa ni askari huru wa polisi wakuzunguka nchi nzima na kukamata?

Maana hata wakuu wa Vituo wanakowapeleka hao walio kamatwa hawana sauti.

Je, tuseme mikoa haijajitosheleza kuwa na askari wapelelezi ?

Mbona hawajamaa wanatamba nchi nzima.Imekaaje hii.Napata Kigugumizi.Na huo ukamataji ni wa kisheria au wao ndio wenye nchi ?
Hao wapo kwenye Task force ya taifa ya kupambana na ugaidi, ni bora ukutane na simba kuliko hawa mabwana
 
Hayo ni mambo ya ndani ya utendaji wa PT.

Hayahitaji mjadala wa kisiasa!
Ndiyo wenye nchi wanataka kujua hiyo logic ya kumtuma askari from Dar kwenda Arusha, Moshi, Tabora nk kufanya kazi huko wakati huko kuna askari pia?

Kumbuka ili waende huko kuna rasilimali fedha zinateketea ambazo zingeweza kusaidia kuweka mifumo ya kidijitali kwenye kila kituo cha polisi ili kuboresha mfumo mzima wa kupokea wahalifu wanapoingia vituoni.
 
Hao ni Mashujaa, yaani Polisi ukisikia mtu anaitwa shujaa jua huyo ni katili aliye tayari kuumiza/kuua bila kujali utu.
Kuna shujaa aliyeshinda Adolf Hitler mkuu?? Mwisho wake ulikuwaje?? Tunaye leo?? Ana legacy gani kaacha??
 
Hivi Kingai, Godluck, Mahita, D/C Msemwa, Afande Jumanne, Minja na Afande AZIZI, Hawa ni askari huru wa polisi wakuzunguka nchi nzima na kukamata?

Maana hata wakuu wa Vituo wanakowapeleka hao walio kamatwa hawana sauti.

Je, tuseme mikoa haijajitosheleza kuwa na askari wapelelezi?

Mbona hawajamaa wanatamba nchi nzima. Imekaaje hii. Napata Kigugumizi. Na huo ukamataji ni wa kisheria au wao ndio wenye nchi?
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile...mkiwaona muwapige mawe
 
Let us ask MO, Roma na kule Kilwa/Lindi (kwa Azory) kama wanaweza kuwatambua
 
Back
Top Bottom