Mb00way hawezi kuwa afisa usalamaUnafikiri hatujui kwamba huyo jamaa yenu mwenyekiti wa chama ni afisa usalama?
DEMOKRASIA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jinga kabisa!
Kupitia nani?Dokta, umetutaka tupige kelele! Na mimi nimepiga kelele. Halafu unaniita Sukumagang!
Mimi ni Sambaa gang wewe! Na sisi ndiyo tutaichukua Nchi baada ya huyu mama kutoka madarakani.
Umedai Mbowe hajaongelea Katiba Mpya ndio nimekupa video kuwa umepotosha.Una miaka mingapi? Unafikiri CCM inawezwa kuyumbishwa na maazimio? Umezaliwa lini? Mbona maazimio yalikuwepo tangu 1995?
Kwani hauoni kuna kikosi kazi au unadhani masuala ya tume huru ama mikutano hayafanyiwi kazi??Kwahiyo bado hamjaruhusiwa kubwata majukwaani?
Mbona tuliambiwa mama anaheshimu katiba? Kumbe bado mnasubiria RUHUSA yake?
Hii kweli DEMOKRASIA! Kwahiyo katiba mpya inakuwaje? Tunaandamana lini?
Si mliwakataa mkawapa CCM 100% sasa mnataka waongelee wapi wakati sehemu rasmi ambapo ni bungeni mmewatimua!!Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani yupo kwenye likizo ya ukimbizi.Waziri kivuli wa mali asili na utalii hajui yupo chama gani kwa sasa.Mwingine anazurura Brussels. Kelele zitoke wapi?
Imebakia keyboard warriors wanalalama tutachukua Nchi!
Mpaka vyama vya upinzani vijikite vijijini kwenye majority ya wapiga kura mtaendelea kulalamika tu.Si mliwakataa mkawapa CCM 100% sasa mnataka waongelee wapi wakati sehemu rasmi ambapo ni bungeni mmewatimua!!
Acheni unafiki mmeachiwa Kila kitu sahivi hamna wa kumlaumu anawachelewesha, bajeti mwaka Jana ilipitishwa kwa 100% kwa mara ya kwanza tokea vyama vingi so hamna wa kumlaumu kwenye failures zenu.
2025 wananchi tunawasubiri
Acha utoto wewe kama 2015 tulipata 40% ya kura licha ya wizi..... 2014 tulishinda 40% plus ya mitaa na vijiji vilivyofanya uchaguzi. Same in 2015 tulishinda halmashauri zaidi ya 30 alafu unasema hatupo vijijini??Mpaka vyama vya upinzani vijikite vijijini kwenye majority ya wapiga kura mtaendelea kulalamika tu.
Hata pawepo na Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi kama vyama hivyo havina base ya wanachama na wafuasi vijijini mtakuwa mnajaza maji kwenye gunia.
Na ngonjera za kuibiwa kura zitasikika kila mwaka wa uchaguzi.
Kitakachobadilika ni aina tu ya malalamiko.
Huwezi kushinda uchaguzi kwa kura za mijini na kwenye social media.
Endelea kuota.Angalizo usijikojolee.Acha utoto wewe kama 2015 tulipata 40% ya kura licha ya wizi..... 2014 tulishinda 40% plus ya mitaa na vijiji vilivyofanya uchaguzi. Same in 2015 tulishinda halmashauri zaidi ya 30 alafu unasema hatupo vijijini??
Hizo porojo zenu zimepitwa na wakati, hiyo 40% Ina maana tulikosa tu 11% kutangazwa washindi tuki assume hazikuibwa. So hizo 40% zote ni mjini???
Hii Tanzania ya 2020 sio Ile ya 1992 kwamba 90% ya watu vijijini hawajui chochote sahivi watu Wana smartphone huko Mvumi sijui Kinampanda wanaona, mfumuko wa bei wanaona kupitia viganjani mwao so Wana exposure ya kisiasa.
Get serious
Lowassa kivipi mbona 2010 kura zote za wapinzani ilikua 38%? Ina maana Lowassa aliongeza 4% pekee 2015.Endelea kuota.Angalizo usijikojolee.
2015 ilikuwa push ya Lowassa.Na kila mtu anajua ndio aliyewasidia kwenye kura.Hamna charismatic leader wa kuweza hata mpate kura 30%.
2020 mlicharazwa na mkabaki mnalalamika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe kama hayupo vileunaweza ukaachia goli bila ya kipa halafu ukahakikisha wachezaji muhimu wote wa timu pinzani wanakuwa 'Rafiki zako'
Tuliwaambia mapema kwamba Mbowe tayari yupo kibraHata mimi najiuliza nini kilitokea pale Ikulu! Katiba mpya naisikia tu kwenye mitandao kwa watu wadogo wadogo kama BAVICHA. Yule kiongozi wao yuko kimya kabisa!!
Kwa hiyo wamesalimu amri?Wakati kafungwa mlipiga kelele??
Au mnataka alufi ndani tena? Utawateteaje watu wasiojielewa. Watulie kimya hiv hiv mpaka akili iwakae sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si mlikuwa mnakata mauno humu kwamba mama anafungua nchi, anamkomesha marehemu na kufuta legacy huku akiwakomesha sukuma gang na kuwafuta machozi mabavicha baada ya kubanwa sana kwa miaka 5?Wananchi gani wanateseka. Si mlikuwa mnakata mauno mnasema wataisoma namba? Mnakuja kulialia nini humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Useful ccm leaders wanawapiga mkuyenge tu. Kama inawaka moto ipepee, umbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe unajua hilo?Unataka nani akupambanie wewe paka mnywa maziwa. Wakati anapigwa risasi wewe ulifunua hilo bakuli lako. Jipambanie mwenyewe, usitarajie mtu akupambanie.
Kelele za nini kama matakwa yao yamekubaliwaWale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?
Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?
Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?
Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!
Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?
Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.
Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.
Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.
Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
Umedai Mbowe hajaongelea Katiba Mpya ndio nimekupa video kuwa umepotosha.
Uzi Bora kabisa niliyoisoma kwa siku ya leo Tanzania hatuna wanasiasa imara tuna wanasiasa wasakatongeWale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?
Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?
Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?
Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!
Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?
Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.
Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.
Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.
Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.