Alafu wakishindwa Uchaguzi wanadai eti wameibiwa kuraUseless opposition leaders.
Hakuna hata mmoja anaona namna wananchi wanavyoteseka na ukali wa maisha.
Wote wapo kimya wamebariki wananchi kupata kichapo cha nguvu.
Alafu wakishindwa Uchaguzi wanadai eti wameibiwa kuraUseless opposition leaders.
Hakuna hata mmoja anaona namna wananchi wanavyoteseka na ukali wa maisha.
Wote wapo kimya wamebariki wananchi kupata kichapo cha nguvu.
Alafu wakishindwa Uchaguzi wanadai eti wameibiwa kuraKuna kitu hakiko sawa, hata marie spaces sasa hivi kimyaaaa
Kwani wameenda huko jela kwa maslahi ya watanzania au kwa maslahi ya chama chao?Hivi wanapokuwa magerezani na kwenye locckupza polisi,sisi wananchi huwa tunafanya nini ili kuonesha tunathamini michango yao katila ustawi wetu?
Alafu wakishindwa uchaguzi eti wanadai wameibiwa kura hapa ndio wanaponishangazaNa hautasikia hata wanaojiita "wapinzani" wakikemea!
Alafu wakishindwa Uchaguzi wanadai eti wameibiwa kura
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?
Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?
Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?
Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!
Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?
Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.
Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.
Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.
Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
Useless opposition leaders.
Hakuna hata mmoja anaona namna wananchi wanavyoteseka na ukali wa maisha.
Wote wapo kimya wamebariki wananchi kupata kichapo cha nguvu.
Yule kahaba aliyekuwa kiongozi wao kule USA akiwahamisisha waandamane naye ametulizwa naona.
Kupewa passport, wahuni wake wanachukua picha za wagonjwa hospitalini, wanatolewa polisi.
Kazi ni kutukana, kudhalilisha wengine.
Wakishinda tume ipo huru.Alafu wakishindwa Uchaguzi wanadai eti wameibiwa kura
Mkuu si hapo alikua anazunguka masokoni au mobilization ni kwenye maofisi?Mi napenda mabadiliko. Siipendi hali iliyopo ktk haki na sheria. Elewa hivyo. Lakini sitaki ushabiki wa kijinga pia. Mbowe anajua wapi panauma zaidi kwa Samia. Anajua kuwa kongamano la katiba linaumiza sana kule upande wa pili. Na ndio maana akazushiwa ugaidi. Baada ya kutoka jela, hatusikii tena kongamano. Badala yake ni vikelele kelele fulani tu ambavyo havimzuii ng'ombe kunywa maji!! Kama kweli wako serious na katiba mpya muda wake ni sasa. Na inahitaji mobilization ya watu. Siyo hivyo vi-clip.
Wapinzani wanajua kujaza fomu chaguzi 5 mfululizo ila chaguzi ya 2020 ghafla 70% wakiwemo incumbent madiwani na wabunge eti hawajui kujaza fomu.Wakishinda tume ipo huru.
Mlishabikia Lissu alipopigwa risasi unategemea wasifurahie? Mtavuna mlichopanda. Mlipanda chuki ndio mnavuna chuki.Haya manyau Mimi sitaki hata kuyasikia. Ndio haya yalisherekea Kipenzi chetu alipofariki.
Haya majitu ni hatari sana. Watanzania tuwe makini na hivi vyama vingine ni wakala wa Matatizo ya watanzania.
Mnatamani sana serikali ya Samia ianguke, sasa mnataka kiu yenu itumizwe na wale ambao miaka 6 iliyopita mlitaka na kufanya juhudi zote kuwatokomeza.
Lini umewahi kuona mbowe au lissu kawekwa selo kwasababu ya kuwapigania wanawanchi kupata haki ya kisheria kuhusu umiliki wa ardhi dhidi ya watu wenye nacho au chochote kinachohusiana na maisha ya kawaida ya wananchi? tuanzia hapo kwanzaWabongo ni watu wagumu sn kwenda nao sambamba. Wakati jamaa wanapigwa ndani, Mabomu, virungu, Lisunization, na mengine mengi wala hatukuwa tunawasemea.
Swali la kujiuliza, hivi kwani hao tunaowalaumu hawatupiganii wao ndio wanadhamana ya mafuta? Je wao ni wabunge wenu? Madiwani wenu? Me nadhan tuelekeze kelele zetu kwa wale tuliowapa dhamana na tukaona wanatufaa sana kutuwakilisha na kutusemea.
Yamewafika shingoni mnaanza kusingizia bavicha? Kwani bavicha ndio wamemuweka mpiga mwingi madarakani? Mwehu kweli wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mnatafuta pa kutokea? Bavicha ndio wamesababisha vita ya Urusi na Ukraine, kichaka chenu cha kupigia dili? Mtaanza kuomba katiba mpya wenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si mlikuwa mnakata mauno humu kwamba mama anafungua nchi, anamkomesha marehemu na kufuta legacy huku akiwakomesha sukuma gang na kuwafuta machozi mabavicha baada ya kubanwa sana kwa miaka 5?
Wakati nyie mnatafuna demokrasia na kubwabwaja, wao wanatafuna nchi.