Mbona hatusikii kelele za Demokrasia?

Mbona hatusikii kelele za Demokrasia?

Hivi kuna mtu anawaamini kweli hawa kwa sasa?

Tangu walipofanya uhuni 2015, watu walitakiwa wafumbue macho wazione rangi zao halisi.

Lakini wapi!
Wanaowaamini ni kwakua hawana mbadala tu.

Ila ni kupoteza muda kuweka matumaini kwao.

CCM hii sio ile ya Nyerere na Karume.

CCM hii ya sasa imegeuka kivuli cha kulindia maslahi ya wafanyabiashara wasiokua na huruma kwa wananchi.

Ili nchi hii ipone.

CCM inapaswa ifanyiwe marekebisho kuondoa elements zote za watu wanaokitumia chama vibaya kwa maslahi yao.
 
Nyie si watetezi wa DEMOKRASIA?

Vipi leo kulikoni?

Tunaandamana lini kudai katiba mpya?

Yule kahaba aliyekuwa kiongozi wao kule USA akiwahamisisha waandamane naye ametulizwa naona.

Kupewa passport, wahuni wake wanachukua picha za wagonjwa hospitalini, wanatolewa polisi.

Kazi ni kutukana, kudhalilisha wengine.
 
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
itakua wameamua kuwaacha serikali ya ccm iwafanyie kazi, maana wanaweza kwamisha maendeleo, tulia ndugu mafanikio na maisha bora siunayaona?
 
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
🗣️Demokrasiaaaaa!!!
 
Wapo kwenye malipo ya kutosha kipa mwezi. Mtu anakufunga miezi minane. Unatoka kitu cha kwanza anaenda kuongea, kuomba msamaha kwa Rais. Badala ya Rais kumuomba msamaha yeye.

Haongelei tena katiba mpya, mfumuko wa bei, mafuta. Baada ya kila kikao ikulu. Upinzani karibu wote wako kimya kwa issue muhimu.
Wkt huu ndio muda muhimu ya kuibaragaza hi serekali na kuipaka matope mbel za wananchi na uungwaji mkono watapata
 
Alipigwa risasi kwa kubwabwaja hovyo msaliti yule wa ubelgiji!

Mzee wa watu anahangaika kubadili mikataba ya hovyo ya madini, anaibuka mpiga domo mmoja anashangilia uhuni.

Huyu mtu bure kabisa! Kibaraka wa mashetani.
Sasa madini mmenufaika nayo vipi? Makinikia bado yapo bandarini?
 
Watetee watu wenye kutulia,wasounga mkono,katika sayansi ya jamii hii ni moja ya njia nzuri kufanya watu wajitambue na kufanya mageuzi wenyewe bila shinikizo,ni nzuri sana hii.
Safi sana CCM MKAMBARANI wewe umenena. Kama kweli una uhusiano na CCM, basi wewe unaijua siasa.

Wale wanaoona kila linalofanywa na serikali ya CCM ni jema, hapa ndipo nafasi yao ya kuishangilia serikali wakati vyama vya upinzani na wana harakati wengine wako kimya.
 
Kuna kitu hakiko sawa, hata marie spaces sasa hivi kimyaaaa
Sasa hakipo sawa au ndio Samia kamaliza hoja zao? Ndio maana wanadandia mara royal tour mara sijui nini..

Hoja waliyobakiwa nayo ni kupanda Kwa bei ya mafuta na bahati nzuri yamepanda kote Duniani kwa hiyo hakuna hoja ya kumnyooshea kidole Rais..

Mengine yote wamepewa ruksa waseme na waongee watukane nk na waweke solutions..

Hiki ndicho kilimshinda Dhalimu wenu JPM.
 
Tatizo lenu mnatumia wananchi kufanya biashara za siasa huo ni utapeli.

Hampaswi kuwapa watu matumaini ambayo hayapo.

Halafu mnazunguka kwa nyuma kuvuta.

Wacheni uhuni.
Kama ni wapumbavu unawafanyaje? Vya mjinga huliwa na mwerevu hadi mpumbavu atakapojitambua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Useless opposition leaders.

Hakuna hata mmoja anaona namna wananchi wanavyoteseka na ukali wa maisha.

Wote wapo kimya wamebariki wananchi kupata kichapo cha nguvu.
Hivi wanapokuwa magerezani na kwenye locckupza polisi,sisi wananchi huwa tunafanya nini ili kuonesha tunathamini michango yao katila ustawi wetu?
 
Back
Top Bottom