Mbona hatusikii kelele za Demokrasia?

Mbona hatusikii kelele za Demokrasia?

Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.

Kwani wewe huwezi kujitetea mpaka CHADEMA waje? Acha unafiki madarakani mnaiweka CCm halafu kelele mnaipigia chadema
 
Kwa nini wa risk maisha hao kwa watu mazezeta kama sisi,Swala la Katiba sio la Upinzani tu watu wote kwenye vyama na wasio na vyama wote wanapenda katiba mpya-lakini hamna anaye jitoa.So kwa nini waendelee kujitesa??
 
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
Maslahi !! AU ???!! Hapa Bongo SIHASA ni biashara nzuri sana !!
 
wajameni yaani hamna kabisa habari kwamba kuna kamati imeundwa ambayo vyama vya siasa navyo vimo kujadili hayo?!? hahahahaaa mnapenda politiki za makelele looh
 
Wewe inaonekana hata mzungu akikuomba kundu unampa anakupakua bila malipo.

Who is mzungu? Mikataba ni msaafu?

Wakati wa Magufuli sheria nyingi za madini zilirekebishwa na kutungwa upya, na mikataba mingi ya kibeberu ilitenguliwa.

Mojawapo ya sheria ni hizi:

1. The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act 2017.

2. The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re-negotiation of Unconscionable Terms) Act 2017.

3. The Mining Act (RE. 2019).

Huyo ndio JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.

Haya tuendelee kulamba asali sasa chini ya DEMOKRASIA imara.

Wapi sukuma gang?

Kama sio ukhanithi ni nini unabidili mkataba wa mzungu unaingia mkata na mzungu mwingine! Si angeingia mkataba na wazinza wenzake? Kutaja majina ya mikataba ndio ubora wa hiyo mikataba? Hao waliongia kwenye mikataba mipya si ndio hao wametirisha maji kwenye mto na hakuna hatua za maana wamechukuliwa? Inaonekana ulimpa kundu dhalimu maana sio kwa kumpamba huku. Hakikisha unapewa nafasi ya kuweka kaburi lako hapo chattle pembeni ya kaburi la basha wako.
 
Ndio maana utaendelea kufirwah na wazungu huku ukisujudia majizi yanakupiga finga.

Amka. Utafirwah mpaka lini?

Tulia mchicha mwiba wazungu hawapamiwi kishamba, huoni saa hii basha wako yuko ahera madukani kaacha maborn town wanaendelea na game?
 
Baada ya kulamba asali ya billion tisa za Royal Tour, sasa zaidi ya Billion 200 zinatakiwa kulipwa kwenye ile kampuni yetu ya mchongo ya umeme.

Watoto wa mjini tunaupiga mwingi.

Dhalimu alipora uchaguzi akajaza wabunge na madiwani wa ccm. Waambie hao wabunge wahoji hizo hela maana wao ni wazalendo na wanatetea wananchi.
 
We ni mjinga sana ndugu.

Pole sana. Nasikitika kusema.
Mwenye akili ni ww uliyejiunga juzi hapa jukwaani na kuja na huu uzi wa kupanick. Hapa ukija moto tunakukatia hizo shanga ukajieleze kwa huyo basha wako mpya wa Dubai. Ngiri jike ww.
 
Back
Top Bottom