Mbona hatusikii kelele za Demokrasia?

Mbona hatusikii kelele za Demokrasia?

Wkt huu ndio muda muhimu ya kuibaragaza hi serekali na kuipaka matope mbel za wananchi na uungwaji mkono watapata

Watasubiri wakati wa uchaguzi watapewa shavu la maana. Kwanini unafikiri tuna tozo, kodi za ajabu, huoni zinapokwenda toka March 2021.
 
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.

Hoja yako ni nini dogo, au umekosa nafasi ya kuchimba kaburi lako hapo chattle ili uzikwe karibu ya dhalimu?
 
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
Mnachekesha!! Si mliwakataa mkawapa CCM 100% sasa mnataka upinzani uongee wapi wakati kwenye vyombo vya maamuzi mko wenyewe??

Maadam mmeachiwa Kila kitu fanyeni kazi yenu mliopewa kwa 100% msitake kuwapa lawama upinzani wakati wenye upanga ni wabunge mlikojaza makada watupu.

Btw mikutano ya hadhara haijaruhusiwa Bado so usipotoshe
 
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
Tuko kwenye bei ya mafuta kwanza. Tukimaliza tutarudi kwenye Demokrasia😂😂
 
unaweza ukaachia goli bila ya kipa halafu ukahakikisha wachezaji muhimu wote wa timu pinzani wanakuwa 'Rafiki zako'

Dhalimu alipora uchaguzi akajaza wanaccm wote bungeni, hao wahoji kupanda kwa bei za vitu maana ni wazalendo na wanatetea wanyonge.
 
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
Wapigaji wote 🚶🚶
 
Ukipewa majibu, nitumie kopi yake kwa email kichuguu@jamiiforums.com


We mzee toka upotoshe kuwa JPM yupo kwenye mfungo wa maombi wakati upinzani ulishasema amefariki, ulijishushia hadhi Yako kabisa kama factual member.

Yaani hata kuingia kwenye official media ya CHADEMA kuona mikutano wakizungumzia mfumuko wa bei na ripoti ya CAG umeshindwa??

Umezeeia vibaya sana you should just quit jf at this point. You are a liability
 
Alipigwa risasi kwa kubwabwaja hovyo msaliti yule wa ubelgiji!

Mzee wa watu anahangaika kubadili mikataba ya hovyo ya madini, anaibuka mpiga domo mmoja anashangilia uhuni.

Huyu mtu bure kabisa! Kibaraka wa mashetani.

Hamna mshamba anaweza kubadili mkataba wa mzungu. Amebadili mkataba gani zaidi ya porojo na sifa za kipuuzi? Zile $192b mmelipwa ngapi mpaka sasa? Mitume wake kina Kabudi walikaa kikao cha siri wakaishia kuambiwa watalipwa $700m sujui za goodwill, toka ile porojo ya $192b ambazo hadi leo hazijatoka zote. Hamna mzungu anatishiwa na peasant wa chattle.
 


We mzee toka upotoshe kuwa JPM yupo kwenye mfungo wa maombi wakati upinzani ulishasema amefariki, ulijishushia hadhi Yako kabisa kama factual member.

Yaani hata kuingia kwenye official media ya CHADEMA kuona mikutano wakizungumzia mfumuko wa bei na ripoti ya CAG umeshindwa??

Umezeeia vibaya sana you should just quit jf at this point. You are a liability

Ndilo jibu? Nilisema unitumie kwa email.
 
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
Kwa hiyo nini kinakuwasha hasa? Legacy au bei ya nishati mafuta? Tuanzie hapo kwanza.
 
Ndilo jibu? Nilisema unitumie kwa email.
Nyie ndio mnarudisha nyuma hili taifa kwa unafiki, mlituona wapinzani hatufai na kwamba ni mawakala wa mabeberu..

Mkachukua majimbo yote na almost 90% ya kura za Urais.

Mmefeli Kila kitu ndio mnajifanya mnatambua majukumu ya upinzani?

Nasema hivi inflation ipande kwa 100% na mkienda Julia bungeni ni CCM watupu so wataongeza tozo na Kodi ndio mtaenda barabarani.

Mliyataka wenyewe Wacha mnyooke!!
 
Back
Top Bottom