Mbona hamwendeshi Pikipiki wanawake!

Mbona hamwendeshi Pikipiki wanawake!

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,242
Reaction score
1,429
Sijawahi ona mwanamke akiendesha pikipiki kulikoni akina dada na wamama ,vipi huo usafiri mnawaachia wanaume tu ?!

bikerbabes2004july09.jpg

Sijawahi ona mwanamke akiendesha pikipiki kulikoni akina dada na wamama ,vipi huo usafiri mnawaachia wanaume tu ?!

ili utuchungulie?

kuna mmama mmoja pale udsm alikuwa anaendesha pikipiki sjui mwalimu yule....ahh yeye hana shobo kikapu chake anakifunga nyuma anavaa gaun lake kuubwa then mwendo mdundo..i like her

Nenda Mwanza pale Mkolani kuna demu anaendesha pikipiki a.k.a Boda Boda.

mbona tunaendesha sana......mimi binafsi naendesha vespa

uku tunaogopa
utamaduni uo aupo..watu watakushangaa..ata ukiwa demu wa wana appolo stl ukiendesha watu wanakutolea macho..

WANAWAKE WENGI BADO MABIKIRA SO WANAOGOPA KUENDESHA HONDA WASIJE WAKATOA BKRA ZAO/ZETU...

bt me i lke kuendesha honda.....

kwani baiskeli haitoi Bikra?

uku tunaogopa

utamaduni uo aupo..watu watakushangaa..ata ukiwa demu wa wana appolo stl ukiendesha watu wanakutolea macho..

WANAWAKE WENGI BADO MABIKIRA SO WANAOGOPA KUENDESHA HONDA WASIJE WAKATOA BKRA ZAO/ZETU...

bt me i lke kuendesha honda.....
He!! kumbe....

inatoa nusu bt pikipiki inakuzalisha kabsa.

leo una vituko ww kuna mmoja alinipiga fiksi hajawahi ku do tulipolimana sikukuta kitu .akanambia nlipouliza kulikoni nkaambiwa "baiskeli" imeshafyatua

Nenda Kamachumu, mkoani Kagera utamkuta mwendesha bodaboda wa kike, Pia katika mji huo, kuna Bibi Shamba naye anatumia pikipiki 110 kwa muda mrefu sana. Pia ukienda Tanga pale ofisi za maliasili kuna mwanamke anaendesha pikipiki kama usafiri wake wa kadaiwa. Tembea uone.

nimekupata mkuu

Back
Top Bottom